kipanga85
JF-Expert Member
- Apr 15, 2024
- 2,459
- 6,466
me niwe directorMahusiano yana mambomengi sana, unaweza ukatengeneza muvie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me niwe directorMahusiano yana mambomengi sana, unaweza ukatengeneza muvie
Maini yanazalisha uric acid kwa wingi, hakikisha kabla ya kulala unakunywa glasi moja ya maji uliyokamulia limao zima au kipande.Hapa nimemwagizia angalau apate maini ya mbuzi ya kuchoma, lakini yote ni kusahaulisha yale yaliyopita 😀
Nmechukua hiiMaini yanazalisha uric acid kwa wingi, hakikisha kabla ya kulala unakunywa glasi moja ya maji uliyokamulia limao zima au kipande.
Alkaline ndio kila kitu.
Nje ya mada..Mkuu watu wagambe wakati mwingine wanakesha mpaka asubuhi kutokana na 'vibe'
Kule vyura ni wengi na wamepiga mavazi ya kuvutia, vimini, vipensi; yaani ni full swaga, wengine ata kufuli hawajafunga, kwa ujumla ni full burudani.Nje ya mada..
Hivi inakuaje mtu unajenga nyumba ya milioni 100 halafu unalala bar umekaa kwenye kiti, mbu wanakung'ata, baridi inakutandika usiku kucha? Walevi hua mnanishangaza sana..!
Ebu njoo hapa kwa mangi, angalau upate ata tangawiziMnapeana chai tu siku hizi
Nilikuwa sijui hichi kitu, vipi kuhusu maini ya ng'ombe?Maini yanazalisha uric acid kwa wingi, hakikisha kabla ya kulala unakunywa glasi moja ya maji uliyokamulia limao zima au kipande.
Alkaline ndio kila kitu.
Hako kamoja kanaweza kufanana na mjumbe wa nyumba kumi, bila dna inaweza kuwa uongo 😀Aiii watoto watatu wote hao jamani mbona wengi [emoji23][emoji125][emoji125]
Labda kamoja.
Ni mahali pazuri pa kuishi bila stressnchiii hii daah
Jamani si utafanya DNA kupata uhakika.Hako kamoja kanaweza kufanana na mjumbe wa nyumba kumi, bila dna inaweza kuwa uongo 😀
Sawa hakuna shida, muhimu mhasibu niwe mimime niwe director
Peleka FacebookJana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu.
Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe' wengi walikuwa wakiingia na kutoka, kwa bahati mbaya kuna mdada mmoja nilikuwa nimemzoea kipindi cha nyuma, ila sina mahusiano naye; ila kwa kilichotokea jana nimegundua ana hisia na mimi.
Baada ya kulewa sana, ikabidi niondoke na mpenzi wangu kurudi nyumbani; tukabiga shoo zetu kabambe kama mnavyojua equation x huwa hazembei kwenye hayo mambo.
Mtoto akawa analia, anasema,'' equation x uwe unanipa kila siku, na usimpe mwingine; nenda spidi hivyo hivyo usimwage bhana''.
Kutokana na maneno hayo, huku akitoa kwa sauti ambayo sijaizoea, nikaona kama vile muumba amenipendelea.
Wakati nipo napumzika (half time) mida ya saa nane na nusu usiku, ujumbe ukaingia kwenye simu yangu kutoka kwa yule dada, ukisema; ''equation x uko wapi kuna tatizo limetokea linakuhusu wewe mwenyewe tu jitahidi unione sasa hivi''
Nikauliza tatizo lipi na linahusu nini?, akanijibu si vizuri kuongelea au kuchat kwenye simu we njoo tu.
Nikamwambia bebi wangu, nimepata ujumbe hapa nashindwa kuuelewa, ebu amka twende tukausikilize; kutokana na bibie kuwa amechoka, akaniambia we nenda tu utanijulisha.
Mi nikawa na wasi wasi, ni kitu gani kimetokea? Ikabidi nimshtue jamaa yangu wa karibu, nikamwambia ebu twende eneo x nimepata ujumbe nina mashaka nao, jamaa akasema poa.
Nikachukua kasalio kidogo, nikaenda sehemu husika; mara namkuta yule mdada yupo peke yake anapata kinywaji; nikamuuliza kulikoni kuniita huo usiku wa manane.
Akasema nimekumis tu na nina hisia na wewe; nilitamani nimzabe vibao, lakini akili nyingine ikaniambia mtu akikuambia hisia zake ni vizuri pia kuzi heshimu; basi nikaagiza maji na juisi yeye akawa anapiga zake pombe.
Muda haujakaa sawa, rafiki wa bebi wangu alikuwa pale akaniona na kunifuata mezani na kuniuliza, ''bebi mama umemuacha wapi?''
Nikamjibu yupo nyumbani amepumzika, amesema hawezi kutoka tena; akaniuliza, ''na hapa unafanya nini?'', nikacheka tu; ikabidi nimnunulie savana 2 akaondoka.
Sasa leo asubuhi imekuwa ni siku ya kusuluhisha migogoro; hapa nilipo sina uhakika kama nitapewa shoo jioni.
Mbaya zaidi, niliwatambia humu, nimepata mpenzi mwenye sifa zilizopitiliza.
Wakuu nipeni ushauri
Si huo hapo juu,tupoteze muda tu maisha yenyewe ndo haya.We una ushauri gani 😀
Kwa sababu ni wewe hakuna shida, ebu njoo tuongee; mengine tutayafanya mbele kwa mbele mda ukifika..Jamani si utafanya DNA kupata uhakika.
Kuna nini kule; hujui fb ni mtandao mkubwa kuliko apo ulipo?Peleka Facebook
utaliwa na maisha bure. ukimwi unatisha.Magonjwa ni mengi yanaua na huo ni mmojawapo; tafuta pisi kali ule maisha
Zimejaa kwenye friji mkuuEbu njoo hapa kwa mangi, angalau upate ata tangawizi
Hizo za kula peke yako hazina tijaZimejaa kwenye friji mkuu
Ya rangiiiiiii!!!Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu.