Ushauri: Anataka kuniharibia penzi langu jipya, nifanyeje?

Mkuu watu wagambe wakati mwingine wanakesha mpaka asubuhi kutokana na 'vibe'
Nje ya mada..

Hivi inakuaje mtu unajenga nyumba ya milioni 100 halafu unalala bar umekaa kwenye kiti, mbu wanakung'ata, baridi inakutandika usiku kucha? Walevi hua mnanishangaza sana..!
 
Nje ya mada..

Hivi inakuaje mtu unajenga nyumba ya milioni 100 halafu unalala bar umekaa kwenye kiti, mbu wanakung'ata, baridi inakutandika usiku kucha? Walevi hua mnanishangaza sana..!
Kule vyura ni wengi na wamepiga mavazi ya kuvutia, vimini, vipensi; yaani ni full swaga, wengine ata kufuli hawajafunga, kwa ujumla ni full burudani.
 
Maini yanazalisha uric acid kwa wingi, hakikisha kabla ya kulala unakunywa glasi moja ya maji uliyokamulia limao zima au kipande.

Alkaline ndio kila kitu.
Nilikuwa sijui hichi kitu, vipi kuhusu maini ya ng'ombe?
 
Aiii watoto watatu wote hao jamani mbona wengi [emoji23][emoji125][emoji125]

Labda kamoja.
Hako kamoja kanaweza kufanana na mjumbe wa nyumba kumi, bila dna inaweza kuwa uongo 😀
 
Peleka Facebook
 
Ya rangiiiiiii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…