Ushauri: Askofu Gwajima chukua fomu ya kuwania Urais

Salaam, Shalom!

Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,

UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.

Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.

Ubunge SI level yako Tena.

Nawasilisha 🙏
Huyu Gwajima aliyewatelekeza waumini wake?
 
Salaam, Shalom!

Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,

UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.

Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.

Ubunge SI level yako Tena.

Nawasilisha 🙏
Kwenye chama chake fomu ilitoka moja tu!
 
Salaam, Shalom!

Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,

UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.

Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.

Ubunge SI level yako Tena.

Nawasilisha 🙏
Watafufudua madudu yake yote tena kwa kutumia subwoofer😂😂😂
 
Kwenye chumba cha kuchukua form ya kugombea urais kuna hii kufuri limepigwa ...na fungua kaishika mwenye kufuri
 
Attachments

  • Screenshot_20250627-114921_Gallery.jpg
    Screenshot_20250627-114921_Gallery.jpg
    77.3 KB · Views: 12
Salaam, Shalom!

Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,

UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.

Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.

Ubunge SI level yako Tena.

Nawasilisha 🙏
Ungeandika hivi: "GWAJIMA NAOMBA UUWAWE HARAKA NIMEKUCHOKA".
 
Watafufudua madudu yake yote tena kwa kutumia subwoofer😂😂😂
Yangekuwepo wangeshasema,

Hauwezi fanya kazi ya Mungu na kuisema Siri Kali bila kuwa mnyofu!
 
Katika hili sijamuelewa kabisa, kwanini ameamua kujikalia kimya pamoja na haya wanayopitia waumini wake..... Ila nao wanakomaa tu imani yao ni kali sana.

Ila gwajima hafanyi vizuri hata kidogo.
Kaonyesha wazi sio kiongozi sababu kiongozi anatakiwa uwe mstari wa kwanza kabisa lakin yeye yuko mafichoni
 
Ungeandika hivi: "GWAJIMA NAOMBA UUWAWE HARAKA NIMEKUCHOKA".
Kufa ni kitu unasaini death warrant yako mwenyewe kwa matamshi.

Askofu Gwajima hawezi kufa Hadi atimize kusudi lake duniani la kufanya Africa kuwa dola imara kutokea Tanzania headquarters za Afrika.
 
Labda kwako,

Ana branches Dunia nzima Hadi ulaya alifanya kazi ya Mungu.

U nani wewe kusema haya
Kuwa na branches sio ishu kinachoendelea kwa waumini na ukimya wake we unaona ni sawa??
 
Back
Top Bottom