Ile ni taasisi,Kuwa na branches sio ishu kinachoendelea kwa waumini na ukimya wake we unaona ni sawa??
Akachukulie wapi mkuu! history ijirudie
Ilizikwa kwa sababu zipi ikiwa ni ya kweli?Issue yake ya kuuza unga unataka ifufuliwe?
Gwajima hajajificha.Yule ni lijasusi la mbinguni.Si ajabu amerudi likizo kwa baba yake.Kuwa na branches sio ishu kinachoendelea kwa waumini na ukimya wake we unaona ni sawa??
Kwani wewe hauwezi kuwa na branches katika shughuli zako? Mbona kuna watu waliwahi kuja hadi humu JF kuwaokota watu wakawap8ga na kutokomea?Labda kwako,
Ana branches Dunia nzima Hadi ulaya alifanya kazi ya Mungu.
U nani wewe kusema haya
Nimemshauri Mimi binafsi,Kwani wewe hauwezi kuwa na branches katika shughuli zako? Mbona kuna watu waliwahi kuja hadi humu JF kuwaokota watu wakawap8ga na kutokomea?
LolIssue yake ya kuuza unga unataka ifufuliwe?
Sasa mbona taasisi haisaidii watu wake?Ile ni taasisi,
Lazima ijiendeshe. Hujiulizi akiwa bungeni kanisa liliwahi funggwa kwa Yeye kutokuwepo?
Kanisa ni la YESU , Gwajima ni mmoja wa mtumishi tu.
Kwa hiyo unabisha basi nenda kamuulize ngwajima mwenyewe au nenda wewe kachukue form kama ujakutana na bonge la kufuri size XXLQWe jamaa ww🙄
Akaongoze kijijini kwenu hukoLabda kwako,
Ana branches Dunia nzima Hadi ulaya alifanya kazi ya Mungu.
U nani wewe kusema haya
Kuwasaidia vipi?Sasa mbona taasisi haisaidii watu wake?
Akuongoze na wewe upate akili Bora.Akaongoze kijijini kwenu huko
Kanisa la Yesu ila sadaka hua zinaliwa na nani?Kanisa ni la YESU, atashuka mwenyewe kulitetea, ni suala la muda tu.
Tangu awali ilielekezwa,Kanisa la Yesu ila sadaka hua zinaliwa na nani?
Hicho chama si watakua wawili ? Hazuiliki lkn mpk sasa amekua kimya sanaBado vile vile,
Kuna chama kimepigwa pini kusudi Ili asitokezee kule,
Lakini, kuzuia ndio kuharibu,
Mtu huyu hazuiliki.
Rudi kusoma thread achukue fomu lini?Hicho chama si watakua wawili ? Hazuiliki lkn mpk sasa amekua kimya sana
Ok, mmh bado siaminiRudi kusoma thread achukue fomu lini?
Ni baada ya reforms kufanyika Katika katiba illi kupata tume huru ya uchaguzi.
Kutokuamini ni DHAMBIOk, mmh bado siamini