Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Naona km wameshtukia hivyo wamejipanga kwa lolote waendeleeKutokuamini ni DHAMBI

Hawana pesa ya kufanya uchaguzi,Naona km wameshtukia hivyo wamejipanga kwa lolote waendelee
...Salaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni yangu binafsi. UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge si level yako tena.
Nawasilisha 🙏
.
Hahahaha,mimi nataka usemayo yawe kweli maana dahHawana pesa ya kufanya uchaguzi,
Hizi sarakasi mwisho August
Naunga mkono hiliSalaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni yangu binafsi. UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge si level yako tena.
Nawasilisha [emoji120]
Kupitia chama gani?Salaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni yangu binafsi. UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge si level yako tena.
Nawasilisha 🙏
Mada imeeleza lini achukue fomu,Kupitia chama gani?
Soma comment no 49Kwa chama gani? Unakumbuka "muachane na Magwagima ".
Ahahahahaha!!!Mada imeeleza lini achukue fomu,
Hilo likitimia, chama ni juu yake.