Huyu Gwajima aliyewatelekeza waumini wake?Salaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,
UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge SI level yako Tena.
Nawasilisha ๐
Hata mi kanikera katika hiloHuyu Gwajima aliyewatelekeza waumini wake?
Huyo huyo, mtetezi wa watu wa Mungu.Huyu Gwajima aliyewatelekeza waumini wake?
Kwenye chama chake fomu ilitoka moja tu!Salaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,
UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge SI level yako Tena.
Nawasilisha ๐
Gwajima hajawahi kuwa mtu wa kuaminika.Hata mi kanikera katika hilo
Katika hili sijamuelewa kabisa, kwanini ameamua kujikalia kimya pamoja na haya wanayopitia waumini wake..... nao wanakomaa tu imani yao ni kali sana.Gwajima hajawahi kuwa mtu wa kuaminika.
Labda kwako,Gwajima hajawahi kuwa mtu wa kuaminika.
Watafufudua madudu yake yote tena kwa kutumia subwoofer๐๐๐Salaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,
UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge SI level yako Tena.
Nawasilisha ๐
Kwenye chumba cha kuchukua form ya kugombea urais kuna hii kufuri limepigwa ...na fungua kaishika mwenye kufuriSalaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,
UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge SI level yako Tena.
Nawasilisha ๐
Ungeandika hivi: "GWAJIMA NAOMBA UUWAWE HARAKA NIMEKUCHOKA".Salaam, Shalom!
Huu ni ushauri wangu na maoni YANGU binafsi,
UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao.
Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ubunge SI level yako Tena.
Nawasilisha ๐
Yangekuwepo wangeshasema,Watafufudua madudu yake yote tena kwa kutumia subwoofer๐๐๐
We jamaa ww๐Kwenye chumba cha kuchukua form ya kugombea urais kuna hii kufuri imepunga
Hivi bado iko vile vile au ndio imeisha?Labda kwako,
Ana branches Dunia nzima Hadi ulaya alifanya kazi ya Mungu.
U nani wewe kusema haya
Kaonyesha wazi sio kiongozi sababu kiongozi anatakiwa uwe mstari wa kwanza kabisa lakin yeye yuko mafichoniKatika hili sijamuelewa kabisa, kwanini ameamua kujikalia kimya pamoja na haya wanayopitia waumini wake..... Ila nao wanakomaa tu imani yao ni kali sana.
Ila gwajima hafanyi vizuri hata kidogo.
Kufa ni kitu unasaini death warrant yako mwenyewe kwa matamshi.Ungeandika hivi: "GWAJIMA NAOMBA UUWAWE HARAKA NIMEKUCHOKA".
Kuwa na branches sio ishu kinachoendelea kwa waumini na ukimya wake we unaona ni sawa??Labda kwako,
Ana branches Dunia nzima Hadi ulaya alifanya kazi ya Mungu.
U nani wewe kusema haya
Bado vile vile,Hivi bado iko vile vile au ndio imeisha?