Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

"Sijakuacha mama nilikuwa nakutafutia maisha wewe na mtoto, sasa nimerudi mazima kwako mpenzi ".

Haya ni maneno yatakayofuata baada ya kujifungua kwako na wakati huo umeshapata mwanaume mwingine!

Kazi yako ni akili yako. Ukiwa mjinga utawakosa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hongera kwa kushika mimba ,usije ito a hiyo mimba ,nikujulishe tu mm nilikuwa baba nikiwa na miaka 21 ,ilitokea tu bila kupanga nilikuwa sina hata mia ya kulea ,ilaa nilijitahd kumpa moyo asiitoe ingawa wazo hilo alikuwa nalo .sahv nina binti anamiaka 10 .shida ya huyo mtu wako anashindwa kukupa moyo tu.ilaa usitoe mtoto huyo atakufaa sanaa na ukitoa utakuwa huna aman moyoni mwako maisha yako yote ,tafadhar sanaa zaa huyo mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu pole sana, Wanawake tunapitia mengi, never attempt to abort, hii dhambi itakutafuna, Kiache kiumbe cha mungu, Wanaume wengi walaghai, ukimwambia nina Mimba yako hata simu hapokei tena anaanza visingizio kwamba nimesafiri, ni wachache sana utamwambia nina Mimba yako akaonesha uso wa furaha na akaendelea kukujali, wanaume badilikeni jamaniii
Kweli kabisa aisee!

Nakumbuka miaka iliyopita nilimpa binti mmoja mimba, alivyonambia tu nikamchukia ghafla! Ila ile hali sikumuoneshea! Nikamshauri tukaitoe. Alikasirika saana kusikia neno hilo, hadi nikajuta kulisema hilo neno la kuitoa mimba.

Kumbe wakati namwambia kutoa mimba, yeye hiyo mimba anaiona golden chance kwake kulingana na nature ya family yao(Mungu awasaidie). Japokuwa alikuwa hajaolewa ila naye aliamini hawezi kupata mtoto kama wengine ndani ya family yao.

Alivyoona naweza kubadilika akanipeleka Ustawi wa Jamii. Tukakubaliana tu. Mtoto alivyozaliwa tu, yaani copy yangu kabisa!

Leo hii najivunia kuwa na kijana hadi najishangaa, mawazo yale ya kutoa mimba sijui nilikuwa nimeyatoa wapi!

Mama mtoto ameshaolewa ila hajabahatika kupata mtoto tena na ndoa ina mashaka. Tukiongea anaongea maneno mazito sana.

Niishie hapa tu ila namshauri huyo binti asitoe hiyo mimba. Ailee hata ikiwa kwa shida. Hawezi jua ya mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
Hakuna dhambi yenye faida,hizo ni moja tu ya concequences za zinaa,usipotubu na kuacha kuishi hayo maisha,madhara mengine yanafuatia...
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
Mimi nipo tayari kuilea,krb tuyajenge.
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
Hii dunia ina mambo wengine tuna hamu na watoto kwa ajiri ya kutupa kampani nyumba isikae kimya wengine wanatamani wanakimbia majukumu harafu unajiita mwanaume asalaleheeee!
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
Unataka wa kuilea mimba au tukusaidie boyfriend wako asipige chenga ? Kutoa umesema hutaki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Never ever, never! Usije kufanya hilo kosa kamwe.
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu

Kitochi Original
 
Dada mwenzangu,(naandika kwa uchungu) mimi ni mtoto wa nje ya ndoa. Mamaangu alidanganywa na baba akashika mimba ya mimi mwisho wa picha kumbe mzee ana mke.Dear there was a time when my mom thought of killing me even before i was born. But nampongeza she is a super hero , she felt sorry for me
Amenilea yeye tu hadi nafikia kufikia umri najitambua
Now am 24, and my mom is the reason nafight kila siku kupata chochote kitu
Sitamani apungukiwe na huwa namshukuru sana kwa kunizaa na kunilea katika maadili mema.
Dear, am praying for you
Mungu akupe nguvu, lea ujauzito wako na ujifungue salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
Hata ukiitoa bado utaitwa Mama Marehemu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
Nakushauri Uanzishe topic mpya ya Kuomba Msaada kwa kua tayari unao Ushauri
 
Back
Top Bottom