Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Usitoe mimba..Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Ukishindwa kumlea nipatie Mimi huyo mtoto tafadhali.
Huyo boyfriend muache aende zake na maisha yako lazima yaendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app