sifikirii kitu kama hicho
Naomba ushauri wenu
Kweli kabisa aisee!Mdogo wangu pole sana, Wanawake tunapitia mengi, never attempt to abort, hii dhambi itakutafuna, Kiache kiumbe cha mungu, Wanaume wengi walaghai, ukimwambia nina Mimba yako hata simu hapokei tena anaanza visingizio kwamba nimesafiri, ni wachache sana utamwambia nina Mimba yako akaonesha uso wa furaha na akaendelea kukujali, wanaume badilikeni jamaniii
Hakuna dhambi yenye faida,hizo ni moja tu ya concequences za zinaa,usipotubu na kuacha kuishi hayo maisha,madhara mengine yanafuatia...Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Mimi nipo tayari kuilea,krb tuyajenge.Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Hii dunia ina mambo wengine tuna hamu na watoto kwa ajiri ya kutupa kampani nyumba isikae kimya wengine wanatamani wanakimbia majukumu harafu unajiita mwanaume asalaleheeee!Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Unataka wa kuilea mimba au tukusaidie boyfriend wako asipige chenga ? Kutoa umesema hutaki .Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Mtafute umrudishie mimba yake
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Hongera kwa kuwa na mentality hiyo, USIJARIBU KUTOA HIYO MIMBA!
Hata ukiitoa bado utaitwa Mama Marehemu tuNdugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu
Nakushauri Uanzishe topic mpya ya Kuomba Msaada kwa kua tayari unao UshauriNdugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.
Naomba ushauri wenu