Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

Usitoe mimba..
Ukishindwa kumlea nipatie Mimi huyo mtoto tafadhali.

Huyo boyfriend muache aende zake na maisha yako lazima yaendelee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamiaka mingapi
 
Hakupendi na hajawahi kukupenda kama unavohisi.
Angekupenda asingeruhusu kukupoteza kisa umebeba mimba aliyoichomeka yeye kwa kutaka uitoe.
Huyo ni monster kama monsters wengine tu.
Komaa lea mimba, Mungu atakujaalia mtoto maana yeye ndie anaeruhusu uhai Wa viumbe vyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I second you!
Wapo wanaojifanya wanajua kufariji kumbe wanatafuta kutatua matatizo yao tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka tukushauri nini tena?
 
Comment yako imemaliza kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hamkuwa tayari kwanini ulikubali ngono zembe? Wakati unapanua miguu ulikuwa unasikia utamu hukuwaza kutakuwa na mimba.
 
Nenda kwenye makanisa ukasikilize sala za wanaomba wapate watoto halafu ndio ujue kwa nini wewe umepata bila kufunga wala kuomba.
 
Una miaka mingapi dada? Je, una shughuli gani ya kukuingizia kipato?

Yeye anataka utoe mimbaz je, ametoa sababu zipi?

Mimba ina umri mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumbuka enzi za ujana tulipendana na binti mmoja,mara mimba paap nikaona no im not ready kulea katoe.
Yule binti alikua kaoza sana basi conflict hapa na pale nikampa na hela kabisa ya kutolea 🙆‍♂️akasafiri kwenda kuzaa mkoani.
I swear binti pekee kati ya watoto wa 5 ndio huyo leo yuko 17.
Namwangalia nasema dah sijui shetani alitaka kufanya nini.
Usitoe mimba mdogo, kuna jamaa hapa ana mada anamlilia mungu apate mtoto bora mtafute muelewane tu.
 
laiti mngekuwa na uwezo wa kuirudisha mimba kwa wanaume walioziktaa , nahsi mngewapa mimba ya mapacha

"sweet revenge is when it doubled"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njooo haraka sana kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…