Ushauri: Balozi yeyote aliyeko Ughaibuni asipoleta wawekezaji atimuliwe kazi

Umesikia wapi kuwa Balozi ndie anaeleta wawekezaji?
 
Nchi za wenzenu balozi kujihusisha na mambo nje ya diplomasia ni kukiuka protokali tena anaweza kufukuzwa. Someni kwanza protokali za kidiplomasia zinasemaje. Nchi zingine huwa zinajitangaza huko Ulaya na Amerika kupitia marketing campaigns, public relations, lobbying, etc. Na hizi ni kazi zinazofanywa na kampuni zao huko huko Ulaya na Amerika.
 
hawa wote wakula peasa za bure hakuna wanachokileta kuifaidisha nchi
 
Fukara ni ww peke ako
 
Wawekezaji huwa awaletwi ujileta wenyewe kwa kuangalia sera za nchi je zinatabirika.Maana ni risk Sana kuwekeza nchi za kiafrica sera hazitabiriki,maana KILA mtawala huwa huja na yake.Uwekezaji ni kitu cha kudumu na sio mda mfupi.Nchi iliyojaa marufuku nyingi yaani mtawala akiamka tu asubui marufuku kuingiza sukari,makaa ya mawe,nk ni ngumu kupata Wawekezaji.Rejea fastjet,nk.
 
Sisi hatuna majasusi wa uchumi kuiba taarifa za fursa nje wazilete tukawekeze huko bali wao wako bize kupambana na upinzani, kudukua simu za kina Mbowe,zitto, kuisaidia ccm kuiba ushindi na sio kuisaidia nchi isonge vijana waone fursa za nje.
Hao Wawekezaji wanazo taarifa tosha tu kupitia balozi zao thus awaji sababu sera zetu hazitabiriki,rejea waliowekeza kwenye gas,madini,nk walichomfanywa wanakijua.
 
Kwenye business intelligence nchi yangu ni dhaifu mno. Mabalizi wanakula viyoyozi na mishahara ya bure kabisa huko duniani. Tanzania ilitakiwa iuze bidahaa zake za kilimo kwa wingi nchi za mbali, hapo tungekuza kilimo na wananchi wengi wangejiajiri huko tofauti na sasa wanaona kilimo ni kama mateso. Sijui nani atakuja kutukomboa?

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Mabalozi walimuelewa sana hayati JPM. Kila wanapopewa nafasi ya kuongea TBC wanazielezea kwa undani nchi wanazowakilisha katika masuala ya fursa za huko.

Tatizo linaloweza kutimiza malengo ya diplomasia ya kiuchumi kwa sasa ni uwepo wa corona. Ugonjwa huu ni balaa sana, haya masuala ya wimbi la kwanza la pili na la tatu ni nuksi.

Labda corona ikidhibitiwa dunia itarudia hali yake ya kawaida na umuhimu wa mabalozi unaweza kuja kuonekana. Kuna biashara nyingi sana zimesimama zikisubiri makali ya hiki kirusi yapungue.
 
Mabalozi wengine KPA zao ni ulinzi na usalama sio uchumi. FYI.
 
Wawekezaji wa mfano mliwatimua bila kuwasikiliza waliwaambia community yao ya wafanya biashara kuwa Africa its worse to invest inatosha kuua wawekezaji miaja 10bijayo hakuna ataekuja.....hiyo rectifying took 10 yrs waone kweli ndio watakuja kujaribu no confo at all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…