Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua?
Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue kichwa na iwe na exonomy kwenye wese.
Nimeshauriwa shauriwa na wadau labda forester ya 2010 XT, wengine wakaniambia niende kwenye a cheaper model ya suzuki jimny, japo ninaiona ndogo sana, na a bit uncomfortable mkiwa watu wanne. Nakaribisha mawazo na wenye experience.
Natanguliza shukrani za dhati