Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua?

Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue kichwa na iwe na exonomy kwenye wese.

Nimeshauriwa shauriwa na wadau labda forester ya 2010 XT, wengine wakaniambia niende kwenye a cheaper model ya suzuki jimny, japo ninaiona ndogo sana, na a bit uncomfortable mkiwa watu wanne. Nakaribisha mawazo na wenye experience.

Natanguliza shukrani za dhati
Hii gari ya sifa hizi haipo. Ni sawa na kusema unataka upate hotel ya 5 star, yenye vyumba vya hadhi ya presidential suit, halafu ila wasikuchaji zaidi ya 20,000 per day.

Is that possible?!
 
Binafsi nakushauri X-trail T30(Old model)
Hii ni bei mteremko,pia ina options zote za 2WD na AWD.Ikiwa kwenye AWD inatumia tairi za mbele hivyo ina traction nzuri kabisa ukiweka tairi nzuri.Pia ni economic kwenye mafuta--Spares zipo juu kidogo ya Toyota lakini zinadumu muda mrefu.
New Model T31-sina uzoefu nayo binafsi--lakini ninavyoiona imekaa kimayai sana.
Subaru XT-Ndio ni nzuri na ni full time AWD(so consumption iko juu)--Pia clearance ni ndogo--huwezi kuipitisha kwenye visiki.
Next alternative itakuwa Rav4 Manka.
Take your time kuulizia kwa watu wanaokaa maeneo korofi and Good luck!
 
hapo kwenye X trail imekaa kizee sana. Pia usumbufu maintenance oil bei hata brake pads tuu potelea mbali shockup
 
Angalia gari mbili toyota tav old model na Subaru XT, changa karata zako hapo lakin wewe ni kijana nakushauri chukua Subaru XT
 
Kamata chuma hiko kimo ndani ya budget yako na ni all weather hiyo mashine na ni chuma cha pua. Escudo 2nd Generation. Nikikuagizia unapata na discount mi ni BF Gold member. Nimemiliki aina hii ya gari mara 2 nazielewa vizuri .View attachment 1695584
Hii chuma cha pua hasa! Sema siku hizi zimekua adimu sana. Hata ukipata bei imechangamka
 
Back
Top Bottom