Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Mkuu yani hapo 17 ndo nimefika mwisho kbsaaaaa mkuu.Mm nilijua mtu ukiwa na hela unarelax kumbe ndo zinaongeza uchovu
Anyway Ongeza pesa kidogo upate rav 4 killtime
Chukua toyota corolla spacio new model ipo yenye 4wheelMkuu yani hapo 17 ndo nimefika mwisho kbsaaaaa mkuu.
Nissan xtrailWadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua?
Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue kichwa na iwe na exonomy kwenye wese.
Nimeshauriwa shauriwa na wadau labda forester ya 2010 XT, wengine wakaniambia niende kwenye a cheaper model ya suzuki jimny, japo ninaiona ndogo sana, na a bit uncomfortable mkiwa watu wanne. Nakaribisha mawazo na wenye experience.
natanguliza shukrani za dhati
Kama umesoma vizuri kasema iwe economy kwenye weseWahindi huwa wanakuwa na magari mazuri sana na huyauza kwa Bei rahisi unayoweza kuimudu.
Najua unataka machine ya off road, halafu mtu anakuja kukwambia sijui chukua Passo, sijui Alphard mara zipo Spacio four wheeler, haya ni matusi kwa mtoa mada
Suluhisho rahisi na kudumu ni kuchukua Suzuki Jimny (gari ya miradi ya mzungu). Old is gold, gold is wealth, go with suzuki jimny. Hicho chuma cha mjapani mpaka leo hii mjerumani anakipigia saluti. It is Simple, Durable and Affordable.Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua?
Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue kichwa na iwe na exonomy kwenye wese.
Nimeshauriwa shauriwa na wadau labda forester ya 2010 XT, wengine wakaniambia niende kwenye a cheaper model ya suzuki jimny, japo ninaiona ndogo sana, na a bit uncomfortable mkiwa watu wanne. Nakaribisha mawazo na wenye experience.
natanguliza shukrani za dhati
Kama sijakosea ameweka angalizo la utumiaji wa mafuta pamoja na gharama za service na spareparts, umelizingatia hilo mkubwa?Forester XT gari sana hutojutia. Ile ni all wheel drive AWD ni teknolojia mpya kuliko 4WD.
Subaru
Skoda Yeti
Vw tiguan
Bowler Bulldog
FORD RANGER RAPTOR[emoji881]
Shukrannn saaaaanna mkuuSuluhisho rahisi na kudumu ni kuchukua Suzuki Jimny (gari ya miradi ya mzungu). Old is gold, gold is wealth, go with suzuki jimny. Hicho chuma cha mjapani mpaka leo hii mjerumani anakipigia saluti. It is Simple, Durable and Affordable.
Ukishindwa kwenye Suzuki Jimny basi nenda kwenye Rav 4 old model au Suzuki Escudo old model (gari ya mangi)
Kwa hiyo pesa yako (17milioni) inatosha kuvuta gari yoyote mojawapo katika hizo tatu nilizozitaja.