Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

Fwata huu ushauri hutojua kamwe hasa kwenye suzuki escudo masawe angalau ina nafasi kubwa kuliko jimny nusu mkate.
 
Kamata chuma hiko kimo ndani ya budget yako na ni all weather hiyo mashine na ni chuma cha pua. Escudo 2nd Generation. Nikikuagizia unapata na discount mi ni BF Gold member. Nimemiliki aina hii ya gari mara 2 nazielewa vizuri .
 
Mkuu kwema naomba uweke picha ya hiyo rav 4 unayoshauri ninauhitaji pia
 
Asee wahindi huwana magari mazuri, kama wale wa kisutu. Gari ni ya kuendea dukani na kurudi nyumbani. Unaweza ukabahatisha hilux pickup safi kabisa. Ndio, hilux nyingi kuanzia 3l na kuendelea ni economical na ni rahisi kuzitunza pia. Usiwena haraka tu ya kutaka kumiliki hilo gari ili upate lenye hali nzuri
 
....na atabakiwa na chenji zaidi ya 2M...!!
 
Bora ajichange aagize Japan hapa Bongo madalali na wamiliki wengi si waaminifu.
 
Chukua toyota rush
 
Tofauti kati ya 4WD na AWD ni nini mkuu?
Sio mtaalam sana ila ngoja nijarb AWD tail znakuwa znavuta zote. na hii ndo hufanya Gar kuwa na nguvu na stable barabaran.
4wd ni had uiweke ndo tail zote zivute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…