Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,903
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
 
Wewe ulikua na wazo gani la Biashara Kiongozi? Maana hapa kila mtu atakuja na Mawazo yake.. wewe kichwani mwako ulijiandaa kufanya nini?

Angalia mapungufu ya eneo au Mtaa unaoishi mahitaji yao ni nini haswa..Kisha hiyo ichukulie kama Opportunity yawewe kuifanyia kazi na ndio itakua sehem ya biashara kwako
 
Offcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.

(1) Kuuza Pochi za wadada na viatu

(2) Kuuza duka la Dawa.

Kwa sasa nataka biashara ya maisha Tu.

At least Elfu 20 per dai
 
Wewe ulikua na wazo gani la Biashara Kiongozi? Maana hapa kila mtu atakuja na Mawazo yake.. wewe kichwani mwako ulijiandaa kufanya nini?

Angalia mapungufu ya eneo au Mtaa unaoishi mahitaji yao ni nini haswa..Kisha hiyo ichukulie kama Opportunity yawewe kuifanyia kazi na ndio itakua sehem ya biashara kwako
Ushauri mzuri.
 
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
Uko mkoa gani
 
Una account ya NMB?
kama jibu ndio Fanya hivi.

Jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd. Toa 1.5m weka bank ya NMB omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500,000 toa 150,000 kwa ajili ya leseni.

Marejesho ni 91,000 kwa wiki
ukiwa mfanyakazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Hiyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo

Back
Top Bottom