Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Pochi nilimiliki mwenyewe morogoro....

Biashara ya Pochi itakulaza njaa

Angalia fast moving products

Mfano kuna dagaa nyama wanapatikana sana Pangani

Unaweza kutengeneza connection Wakawa wanakutumia

Unanunua Kg kadhaa unawapak unauza

Au unaweza ukauza tu kwa kupima kg, nusu, robo na kadhalika

Hiyo hela ni nyingi sana
Just play smart
 
Nimemdharau..

Yeye anaona kukatisha tamaa ndo jambo la msingi
Mzee hiyo pesa ni nyingi sana kuanzia na unaweza tengeneza pesa. Jiwekee malengo kuhakikisha unaingiza 10,000-20,000 per day ambayo itakupa 300,000 -600,000 kwa mwezi.

Kama unaweza jilipua fanya yafuatayo.

1. Choma chips yai na nyama choma hakikisha eneo ni zuri lenye kupitiwa na watu wengi. Vilevile Kuna pubs kibao hazina hivyo vitu omba eneo kisha walipe kiasi fulani anzisha shuguli hata kama ni mtaani kwako ilimradi una uhakika hiyo pub inafanya biashara. Biashara isiwe very class sana ila uwe msafi kwa kuwa wateja wako ni watanzania wa kawaida. Mengine utajiongeza humohumo

2. Uza nguo za ndani za kike( ila hii mpatie wife kama unae vinginevyo utakosana na watu. Chupi dazani moja inaweza kukupa mara mbili au zaidi ya pesa uliyojumlia. Na haihitaji mtaji mkubwa hata 100,000- 200,000 inaweza kukulipa. Hii biashara nina uhakika inalipa sana kwa wenye mtaji mdogo. Wanawake wanavaa sana chupi na hawapendi zichakae. Na siku hizi wanapenda sana zile ambazo ziko ventilated [emoji4][emoji4]

Kama uko serious zifanye hizo mbili njoo hapa baada ya miezi mitatu utanipa jibu.
 
Biashara ya Pochi itakulaza njaa

Angalia fast moving products

Mfano kuna dagaa nyama wanapatikana sana Pangani

Unaweza kutengeneza connection Wakawa wanakutumia

Unanunua Kg kadhaa unawapak unauza

Au unaweza ukauza tu kwa kupima kg,nusu ,robo na kadhalika

Hiyo hela ni nying sana
Just play smart
Pochi na viatu unalala njaa. Hizo biashara hazihitaji uzitegemee kwa maisha ya kila siku mzunguko wake ni mdogo.
 
Naomba uzoefu na maisha ya mpanda katavi hasa fursa na nk
Asante
Hiyo fursa n uhakika coz nimeifanya na ilinobust Sana sema nilikuja kuitema baada ya kuendekeza starehe but nitarudi tena...
Kuhusu soko lipo tena ni la uhakika na watu wa Kule si wasumbufu kabisa watu peace kinyama. Kikubwa uzingatie condition mbili tu..
1. Ulete dagaa wazuri
2. Usiwe na longolongo (epuka janjajanja)
Ila kitu cha msingi kama Una Nia ya kufanya hii business tembelea masoko ya huko Kwanza. Ili ujionee na kujifunza Ila kitu kingine cha msingi Sana tafuta connection na madereva wa maroli wa mwanza to mpanda ili upeleke mzigo Kwa low cost
 
Shukrani bro
Nimewaza khs kufungua goli ya dagaa But ukiachana na dagaa Kuna fursa gan zngne huko kaka,
Asante
 
Huku huwezi kupata mawazo kwa kuwa huku kila mtu ni bilionea....watakuambia hiyo ni Hela ya mboga au hela ya bia.......

Wewe kama kweli ni mjasiliamali hapo ulipo huwezi kukosa cha kufanya.......

Labda pengine ununue piki piki.....ufanye biashara ya boda boda...kwa hela hiyo huwezi kupata piki piki mpya lakini una uhakika wa kupata iliyo kwenye hali nzuri.....na ukiwa na bidii na kazi utapata Hela.....
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Mkuu hio hela usiibeze mkuu, with that money kuna biashara nyingi sana zinaweza kumpa 30-50 per day
 
una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.

jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.

marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k

Nzuri sema siku huja mwambia na siku ambayo haina mavuno
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo

Usimkatishe tamaa
Hata boda boda ama tigo pesa ama banda la chips au baba lishe inawezekana
 
Back
Top Bottom