Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Yaani nyie watu mnapenda kukatisha watu tamaa, Mimi mwaka Jana nimefungua biashara kwa mtaji wa milioni moja na laki tano tu, lakini ukiiona sasahivi unaweza usiamini kuwa nilianza na huo mtaji.

Cha msingi ni nidhamu tu ya pesa na kuheshimu unachokifanya. Usimukatishe tamaa.
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
 
Unaonaje ungeweka wazi Aina ya biashara uliyo fungua kwa mtaji huo na kiasi ilipo fikia mpaka sasa
 
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.

Biashara sahihi ni ile uipendayo.
Kila biashara ni nzuri ukiwadithiwa.

Follow your Passion, ili ujitoe wotee 100%

#YNWA
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Una miliki biashara yoyote boss?

Huku kwenye vinywaji mil 2 inatosha kufungua Pub.

#YNWA
 
Yaani nyie watu mnapenda kukatisha watu tamaa, Mimi mwaka Jana nimefungua biashara kwa mtaji wa milioni moja na laki tano tu, lakini ukiiona sasahivi unaweza usiamini kuwa nilianza na huo mtaji.

Cha msingi ni nidhamu tu ya pesa na kuheshimu unachokifanya. Usimukatishe tamaa.
Share hapa iyo aina ya biashara uliyoifanya kwa Faida ya wengi
 
Hiyo Million 2 ni pesa nyingi sana.Unaweza fungua bucha hapa vifaa utanunua used kuanzia friza, mashine, na mlango wa aluminium.
Au tafuta fremu ujaze vinywaji maji soda, energy.
Ukishindwa kabisa tafuta sehemu uza viatu vya mtumba uwe unapoint mwenyewe.

Narudia tena hiyo pesa sii ndogo ikiisha ukaanza kuitafuta ndio utajua ninacho kuambia
 
Offcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.

(1)kuuza Pochi za wadada na viatu

(2)kuuza duka la Dawa.

Kwa sasa nataka biashara ya maisha Tu.

At least Elfu 20 per dai
Mkuu hii elfu20 faida au ya kuingiza per dei?
 
Offcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.

(1)kuuza Pochi za wadada na viatu

(2)kuuza duka la Dawa.

Kwa sasa nataka biashara ya maisha Tu.

At least Elfu 20 per dai
Hii biashara ya pochi ikoje mkuu? Ukiongenza na vyupi sii unanoga?
 
Mie binafsi nmesoma mawazo ya watu kuna vitu vingne nimejifunza, labda ya kuongezea kama upo mazingira ya dsm nadhani ndo rahis zaidi kufanya. Kama ukiweza unaweza fungua huduma ya mpesa, tigo pesa, airtel money na halopesa na vocha kwa ziada na ukitaka ufanikiwe zaid tafta na line za lipa namba hiyo inakupa faida yako cash, hiyo biashara fungua mazingira ya hostel za vyuo au vyuoni kabsa wanafunz wengi ndo watumiaji wa izo huduma. Ushindani wa mazingira ayo uwa ni mkubwa ila ina depend naww wateja unavyo zungumza nao ili wawe wateja wako wa kudumu. Kwa huo mtaji unatosha kabsa mana wanafunz siyo watoaji au watumaji wa ela nyingi.
 
Back
Top Bottom