Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Hiyo pesa Ni nyingi sana kwa mjasiriamali
Mimi nilianza biashara ya duka la rejareja kwa hela isiyozidi milioni
Lakini mpaka sasahivi siamini nilipofika
MUHIMU
Nidhamu
Bidii
Maarifa
 
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
Fungua duka la madawa kaka
 
Nilikuwa na hiyo mil2 kichwa kiliniuma lakn nikaona isiwe taabu.....nikanunua bodabada na maisha yalisonga......iko hivi ukiomba ushauri kwa watu na wao watakupa ushauri kulingana na maisha wanayoishi,waliyoyaona au kupitia wao
lakn kifup maisha hayana mfumo maalum

Mfano=
1-Kuna watu wanachonga bush za magar na pikpik kwa kutumia tairi used wanapata pesa
2-Kuna watu wapo ndani wafanya biashara za kuuza only phone accessories online na wanapata pesa
3-kuchukua mayai kwa wafuga kuku na wauzaj wa rejareja ni pesa pia
4-Mabox used nayo ni pesa mkuu
Cha msingi wew angali unaweza nin kisha fanya
Wew na wenzako njoo pm
 
una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.

jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.

marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
mkopo unachukua muda gani hadi kwisha
 
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
Kuna mama huwa namuona hapa mtaani kwetu nasikia anatokea Buza, ndo anapoishi ila anakuja kufanyia biashara zake Mikocheni. Anauza Vitafunwa. Kipande cha muhogo cha kukaanga anauza shilingi 250. Anakaanga mihogo mingi mizuri sana na viazi na kachumbari safi! Yote huwa inaisha na watu wanaenda kununua na magari. Sio Mihogo na viazi tu. Kuna Sambusa, maandazi na Chapati.

Anafanya biashara kama hana akili nzuri.

Nenda maeneo classy na ya kifahari fungua biashara ndogo ya kawaida amini usiamini utapata sana hela. Mwingine nilimuonea maeneo ya mbezi chini kwa Zena. Anauza Kuku wa kukaanga, miguu, utumbo na vichwa na ndizi na chai. Anafanya biashara balaa! Bodaboda na bajaj tele!

Fanya biashara ya chakula iwe na mtaji mdogo wa kawaida ila iwe safi na fully! Imejitosheleza. Utapata faida na biashara itakuwa.

Usisahau kuwa unajiongeza kimawazo, ibada na kujilinda kwenye biashara yako maana husda na ushirikina umo.

Siku njema!
 
Wewe kalia ubishi wako sisi tunapiga kazi utakuja kukumbuka shuka kumekucha, halafu nishee busness idea unanilipa? Na pia naweza nikashea halafu wewe ikakushinda.
Hawezi, itakuwa huwajui watanzania wewe
 
Typical JF comment hii
Yani unataka kusema hamna biashara za 2M?

Unaonaje utafute sehem ufunge saloon ya kike?
Umeniwahi tu mkuu nilitaka niseme hivyo hivyo, watu kama hawa ukiwasikiliza unaweza kufa na stress.

Jamaa anataka biashara ya kuendesha maisha ya kila siku, apate faida hata 20k kwa siku, yeye anakuja na wazo la kununua kiwanja kigamboni.
 
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
1X, playmaster, betpawa, betway, sportpesa....

Wiki moja umezalisha 3m nyingine
 
Back
Top Bottom