Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Anza na mtaji wa laki sita Hadi nane chukua dagaa Mwanza peleka Mpanda baada ya miezi 4 nitafute unipe shukurani zangu.
Mkuu kwema, naona watu wengi wanapeleka dagaa na furu huko mpanda kutoka visiwani huku ila ni wagumu wa kutoa connection kabisa, kama hutojali ongeza nyama kidogo nikichukua mzigo naupeleka mpanda sehemu gani? Natamani kufanya biashara huko. Thanks in advance.
 
Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
Anzisha danguro
 
Idea ziko nyingi, ila Zingatia eneo la biashara + Aticle za biashara 🙏
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Hiyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Mil mbili hela nyingi sanaaaaa. Yaani hiyo kila wiki hukosi laki tano ukibet pasipo kuendekeza tamaaaa
 
Yaani nyie watu mnapenda kukatisha watu tamaa, Mimi mwaka Jana nimefungua biashara kwa mtaji wa milioni moja na laki tano tu, lakini ukiiona sasahivi unaweza usiamini kuwa nilianza na huo mtaji.

Cha msingi ni nidhamu tu ya pesa na kuheshimu unachokifanya. Usimukatishe tamaa.
Biashara ipi mkuu ulifungua
 
Una account ya NMB?
kama jibu ndio Fanya hivi.

Jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd. Toa 1.5m weka bank ya NMB omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500,000 toa 150,000 kwa ajili ya leseni.

Marejesho ni 91,000 kwa wiki
ukiwa mfanyakazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Utaratibu ukoje mkuu wa kuipata bajaj.. lakini pia vigezo vinavyohitajika ni vp mbali na hivyo ulivyoainisha hapo juu? Je, ni lazima uanze na 1.5m ? CMPD ni nin?
 
Nenda kwenye tawi lolote la NMB upate maelezo ya kutosha. Huyo jamaa ulie muuliza anaweza asikujibu maana mara ya mwisho kuonekana humu ilikuwa Septemba 27 mwaka jana.
Utaratibu ukoje mkuu wa kuipata bajaj.. lakini pia vigezo vinavyohitajika ni vp mbali na hivyo ulivyoainisha hapo juu? Je, ni lazime uanze na 1.5m ? CMPD ni nin?
 
Back
Top Bottom