Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Mkuu kwema, naona watu wengi wanapeleka dagaa na furu huko mpanda kutoka visiwani huku ila ni wagumu wa kutoa connection kabisa, kama hutojali ongeza nyama kidogo nikichukua mzigo naupeleka mpanda sehemu gani? Natamani kufanya biashara huko. Thanks in advance.Anza na mtaji wa laki sita Hadi nane chukua dagaa Mwanza peleka Mpanda baada ya miezi 4 nitafute unipe shukurani zangu.