Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Hello.

Nina million 2.

Nina mke na mtoto.

Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.

Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.

So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.

Nataka niende mkoa

Msaada Jamanj.
Nunueni kuku mle mfurahi..

Zikiisha katafute tena.
 
una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.

jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.

marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Kama upo Dar fuata huu ushauri..
 
una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.

jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.

marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Umewahi miliki bajaji?

Umewahi fanya biashara hii?
 
una account ya nmb?
kama jibu ndio Fanya hivi.

jisajili kwenye kikundi chochote Cha Bajaj kupitia cmpd.
toa 1.5m weka bank ya nmb omba mkopo wa Bajaj
kwenye 500000 toa 150000 kwa ajili ya leseni.

marejesho ni 91000 kwa wiki
ukiwa mfanya kazi kwa siku una uhakika wa kusave 20k
Huu ushauri nina amini utawasaidia wengi pia. Hasa wakazi wa Dar.
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Si kweli. Acha kumkatisha tamaa
 
Back
Top Bottom