nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Offcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.Wewe ulikua na wazo gani la Biashara Kiongozi? Maana hapa kila mtu atakuja na Mawazo yake.. wewe kichwani mwako ulijiandaa kufanya nini?
Angalia mapungufu ya eneo au Mtaa unaoishi mahitaji yao ni nini haswa..Kisha hiyo ichukulie kama Opportunity yawewe kuifanyia kazi na ndio itakua sehem ya biashara kwako
Ushauri mzuri.Wewe ulikua na wazo gani la Biashara Kiongozi? Maana hapa kila mtu atakuja na Mawazo yake.. wewe kichwani mwako ulijiandaa kufanya nini?
Angalia mapungufu ya eneo au Mtaa unaoishi mahitaji yao ni nini haswa..Kisha hiyo ichukulie kama Opportunity yawewe kuifanyia kazi na ndio itakua sehem ya biashara kwako
Hii biashara bado ipo? Wanunuzi wapo?Njoo Kanda ya ziwa uwe chinga wa mabondo ya sangara
Mkuu hapa umekwama kabisa, je unajishughulisha na hii biashara wewe binafsi?Uza bangi
Amchinje tuu taifa stars ijumaa maisha ameyapatiaMkeka wa 2m ukosi 3B
Kila la heri Utajiri upo kwenye kubet now[emoji3046]
Uko mkoa ganiHello.
Nina million 2.
Nina mke na mtoto.
Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.
Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.
So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.
Nataka niende mkoa
Msaada Jamanj.
Kuuza au kumilikiOffcource katika Maisha yangu nishawahi Fanya biashara kadhaa.
(1)kuuza Pochi za wadada na viatu
(2)kuuza duka la Dawa.
Kwa sasa nataka biashara ya maisha Tu.
At least Elfu 20 per dai
Hello.
Nina million 2.
Nina mke na mtoto.
Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.
Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.
So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas ya Hii hela ili niipandishe niondoke home.
Nataka niende mkoa
Msaada Jamanj.
Typical JF comment hiiNunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Asante mkuu kwa ushauriTypical JF comment hii
Yani unataka kusema hamna biashara za 2M?
Unaonaje utafute sehem ufunge saloon ya kike?
You speaking fun...Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Iyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Pochi nilimiliki mwenyewe Morogoro....Kuuza au kumiliki