USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Salamu Wana JF.

Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya.

Asanteni.
 
kama hajabakwa, itakua ni kiherehere chake.
Kwani hata binti mwenyewe anajua kufanya matusi ni makosa. Na vibinti vya siku izi vinavyojua baikoko kuliko hata makungwi.
Hajabakwa, ni haya mahusiano ya vijana.
 
Mnaingilia maamzi ya watu wazima[emoji23][emoji23]ama awaruke maana vitoto vya siku hizi kinakuacha mzazi njia panda kweupee
Huu ndio wasiwasi wetu. Wengine wanashauri tuchukue mahari binti wamchukue.
 
Back
Top Bottom