USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

Mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo?.

Kama ni wa msingi au sekondari hizo ni jinai na jinai zinaripotiwa kwa vijana wa IGP N. Sirro

Ila kama ni wa chuo, mkazanieni kuwahi clinic kwanza mengine yataji sort tu baadae.
 
Miaka 18 kisheria ni mtu mzima tatizo lipo hapo kwenye kuwa mwanafunzi.

Kama kamtaja muhusika na alipata ujauzito kwa ridhaa yake basi kaeni familia za pande zote mbili muangalie jinsi gani mnalea ujauzito mpaka mtoto kuzaliwa. Mengine yatafuata baadae.
Kumpa ujauzito mwanafunzi ni kosa kisheria Mkuu hata akiwa na miaka iyo 18+ maadam ni wa msingi/sekondari dola inahusika moja kwa moja hapo.
 

Championship

Kwenda polisi ni kujipotezea muda hakuna cha maana mutakachokipata.
Na kama huyo Binti ana mwenendo mzuri shuleni basi musimuozeshe, leeni mimba akishajifungua aendelee na shule.
Akiwa ni kichwa kibovu kupindukia basi muozesheni, na hilo ni tu pale huyo Muoaji akiwa yupo tayari kuoa. Musimlazimishe mtu amuuoe Binti yenu kama hayupo tayari.
 
kama hajabakwa, itakua ni kiherehere chake.
Kwani hata binti mwenyewe anajua kufanya matusi ni makosa. Na vibinti vya siku izi vinavyojua baikoko kuliko hata makungwi.
Mshauri akamuozeshe, ndio muda sahihi WA kuleta kiumbe duniani 18 and above, ndio njia aliyochagua kumlea baba watoto wake
 
Bora hilo sababu BINTI ana miaka 18na hajabakwa haya mmemfunha huyo kijana kwani WANAUME wameisha?? La sivyo atawazalia watoto kibao hapo nyumban cha msingi peleka KWA huyo mume
sawa na kufuga paka jike atazaa na madume huwaoni
 
Itategemea mna-interest gani akimtaja huyo jamaa kwisha habari yake anakula 3o bila kipingamizi chochote ... kama mtaleta undugu basi report polisi atahojiwa akikana hamjui , hakuna kesi kama atakua na nia atarudi shule
 
Tena ndo ukute jamaaa anamuelewa, wazazi watajua hawajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitoto cha jirani hapa juzi tu kimewaruka wazazi police kisa mme wa mtu na kalivyo maliza shule kakamuiba huyo mme wa mtu na kwenda kupanga sehem nyingine SASA mtoto kama huyo mkianza kuhangaika nae sana anaona kuna vitamu hamtaki avipate ndio KWANZA vinacharuka zaidi
 
Salamu Wana JF.

Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya.

Asanteni.
Acheni kusumbua akili.Serikali Inawasomesha wasichana baada ya kujifungua.kwa sasa toeni taarifa kwa mwl mkuu kwamba binti yuko maternity.atarudi tuu mara atakapojifungua. mnaweza kujifikiria kuamua kumuweka ndani baba ya mjukuu mtarajiwa kama sheria Jamhuri inavyotaka.Hapo huyo binti yenu atakuwa single mother.Nadhani kaeni chini na mume mtarajiwa muweke mambo sawa.
 
Back
Top Bottom