Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha nisiwe muongo aisee hapa kati kati sidhani, labda ntakua napitia pitia tu kuona na kusema chochote kinacho hitajika.Asante sana mwana sheria mkuu wa JF, napenda kujifunza vitu vingi nilikua naomba huu uzi uwe endelevu siku zisizo zawiki utujibie maswali ya kisheri.
Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).
wakili.
jaji mmoja pale mahakama kuu divisheni ya biashara aliwai kusema "mahakama sio kichaka cha kufichia maovu, na mahakama sio mama ako anaeweza kukupa mkate kila saa tu ukala".... kukopa ni lazima ulipe hii ni general rule, ila makampuni haya yanachokifanya ni risk tu, kwakua yana leseni ya kufanya hivyo chini ya sheria za mikopo, wana uwezo wote wakamuwajibisha mtu alie default kutokana na makubaliano ya mkataba wa mkopo wenyewe.Mkuu kuna haya makampuni yameibuka kipindi hiki mfanoTALA, BRANCH yanakopesha watu hela kwa njia ya mtandao...je ikitokea mtu hajalipa yana mandate gani kumuwajibisha mdaiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
ka kwambia nani kua hakuna ukomo? okei iko hivi, haki ya kusimamia mali za marehemu almaarufu kama mirathi ni lazima ithibitishwe na mahakama aidha marehemu awe ameacha wosia au hajaacha,vyote ni mahakama ndio itathibitisha au ita teua kutokana na mapendekezo ya ndugu wa marehemu, hatua hii huitwa application for letter of probate or application for granted probate, sasa kwa mujibu wa sheria za mirathi maombi haya yanapaswa kufanyika ndani ya miaka mitatu toka kifo cha marehemu, na muda huu ukipita basi admistrator general atapaswa kuziweka chini ya uangalizi wake mali hizo mpaka pale ndugu wa marehemu watakapo jitokeza na kuomba wapewa ruhusa na muda kuongezwa wa mahakama.
Ivi kumbe una practice Law? Nikajua wewe ni Law Student kutoka IJA????jaji mmoja pale mahakama kuu divisheni ya biashara aliwai kusema "mahakama sio kichaka cha kufichia maovu, na mahakama sio mama ako anaeweza kukupa mkate kila saa tu ukala".... kukopa ni lazima ulipe hii ni general rule, ila makampuni haya yanachokifanya ni risk tu, kwakua yana leseni ya kufanya hivyo chini ya sheria za mikopo, wana uwezo wote wakamuwajibisha mtu alie default kutokana na makubaliano ya mkataba wa mkopo wenyewe.
Noma sana
Hey Lawyer!okei, sema ya kwako, na ikiwa tofauti nakupa laki moja hapa hapa, alafu uelewe hivi vitu sio tunaviandikaa tu hapa wenzako tunavifanya kila siku.
Noma sana
Ukiskia "Wakili Msomi" ndo huyo sasa
Stanley Mitchell na PTER
Hivi ikiwa mtu anatumia kazi zangu bila idhini na kwanjia moja ama nyingine ndio chagizo ya mapato yake, mfano: Logo niliyounda mimi lakini akaidurufu na kutumia katika kampuni yake. Sheria inasemaje kuhusu mtu wa namna hi?
Nimetolea mfano hapo: Nembo/Logo kutumika bila idhini.
Nimetolea mfano hapo: Nembo/Logo kutumika bila idhini.
Imekula kwako maana huna TradeMark ama ServiceMark (whatever the case) ya iyo "logo", ama unayo kama uliiregisterStanley Mitchell na PTER
Hivi ikiwa mtu anatumia kazi zangu bila idhini na kwanjia moja ama nyingine ndio chagizo ya mapato yake, mfano: Logo niliyounda mimi lakini akaidurufu na kutumia katika kampuni yake. Sheria inasemaje kuhusu mtu wa namna hi?