Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Imekula kwako maana huna TradeMark ama ServiceMark (whatever the case) ya iyo "logo", ama unayo kama uliiregister

Swali: je Uliiregister iyo logo? Au we ni mwajiriwa wa hiyo kampuni?

Kama huna "exclusive rights" za kutumia iyo logo peke yako huwezi kusema anatumia bila idhini yako!

Ungekua na izo xclusive rights...then ungem-license aendelee kutumia under license!

Anything else?
Dah aisee
Vipi kuhusu jina la biashara yangu kutumiwa na mtu mwingine kwa Tanzania ilhali nilisajiri Switzerland, Germany na Finland?
 
Kwanini tunapoteza mda na resources kuendesha kesi katika mahakama za chini kisha hakimu anasema hautakiwi kujibu chochote kwa sababu mahakama hii haina nguvu kisheria kusikiliza kesi yako,swali langu kama mahakama haina nguvu kisheria kwanini imefunguliwa pale huku wakijua mshitakiwa hatakiwi kujibu chochote kwanini wasingeifungua moja kwa moja kwenye mahakama husika?
 
Akijibu hili swali niTAg basi
 
Hakuna kitu kama hicho jaribu kuisoma vizuri, the probate and administration of estates Act and its rules hasa rule 33.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahaha dogo umenichekesha sanaa rule 33 inasemea juu ya procedures tu za ku file petition ya probate, haya ngoja nikuondoe ujinga, soma rule 31 ya hio hio PAE Rules. hahahahahahaha
 
Ivi kumbe una practice Law? Nikajua wewe ni Law Student kutoka IJA????
hahahahaha sorry wewe ni jinsia gani? saa ile ulinibishia juu ya civil prisoner nikakwambia leta definition yako ikiwa haiendani na yangu nakupa laki sasa hivi, ukakimbia now umekuja na vijembe, hahahahaha dada angu bhana.
 
I meant
hahahahahahaha dogo umenichekesha sanaa rule 33 inasemea juu ya procedures tu za ku file petition ya probate, haya ngoja nikuondoe ujinga, soma rule 31 ya hio hio PAE Rules. hahahahahahaha
I meant 31 not 33.
Kwahiyo kwa tafsiri yako hiyo rule 31 imeweka ukomo hapo msomi wakili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini tunapoteza mda na resources kuendesha kesi katika mahakama za chini kisha hakimu anasema hautakiwi kujibu chochote kwa sababu mahakama hii haina nguvu kisheria kusikiliza kesi yako,swali langu kama mahakama haina nguvu kisheria kwanini imefunguliwa pale huku wakijua mshitakiwa hatakiwi kujibu chochote kwanini wasingeifungua moja kwa moja kwenye mahakama husika?
well, mkuu swali zuri sanaa, kisheria hiko hivi, kuna makosa ambayo yanapelekwa mahakama kuu tu kama mauaji, uhaini, ufisadi wa pesa kubwa na madawa ya kiasi kikubwa lakini pia nyara za serikali, sasa makosa haya yote ni jinai, na kwa mujibu wa sheria za jinai hakuna kesi yoyote itakayopelekwa mahakama kuu moja kwa moja pasipo kupitia mahakama ya wilaya au hakimu mkazi, lengo na maudhui ni kukamilisha ushahidi na utaratibu wote utakao tumika mahakama kuu.

kwaio utaona mshtakiwa anaambiwa na hakimu kua "mshitakiwa mahakama hii haina uwezo wa kusikiliza kesi hii, hapa imekuja kwa maulizo na hautopaswa kusema chochote",,, sasa akishaambiwa hivi upande wa mashtaka/jamhuri utamsomea orodha ya mashahidi watakao toa ushahidi wao mahakama kuu, utamsomea vile vile vizibiti vitakavyotumika kama ushahidi, hatua hii kisheria huitwa PI-Preliminary Inquiries, then wakimaliza utaritibu huu, file linachukuliwa kama lilivyo linapelekwa mahakama kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa rasmi.

sasa kisheria ktk masikilizo ya kesi yoyote ya jinai ni lazima kuwe na masikilizano ya awali ambayo huitwa Preliminary Hearing ambapo hii ina dhima ya kusave muda ambapo kuna vitu mshitakiwa ata vikubali na havitazungumziwa tena kwenye kesi na kuna document hapa inaitwa Memorundum of agreed facts itasainiwa na mshitakiwa.
 
dada angu niulize swali lolote duniani, niko radhi kukujibu.
Mbona kama umepaniki bLAza??

Relax, you aint on trial here.

All Craps aside, my question is,

Hypothetically, the GOVERNMENT ktk criminal prosecution wameingia Nolle Prosequi, kwenye charge ambayo, on the face of it, it is INCURABLY DEFECTIVE,
Sasa basi we msomi wa ngazi ya juu ya sheria achana na Mchungaji Mtikila R.I.P aliyekua na cheti cha sheria, unadhani nini ni REMEDY kwa jamaa wa DEFENSE?
 
Imekula kwako maana huna TradeMark ama ServiceMark (whatever the case) ya iyo "logo", ama unayo kama uliiregister

Swali: je Uliiregister iyo logo? Au we ni mwajiriwa wa hiyo kampuni?

Kama huna "exclusive rights" za kutumia iyo logo peke yako huwezi kusema anatumia bila idhini yako!

Ungekua na izo xclusive rights...then ungem-license aendelee kutumia under license!

Anything else?
hahahahahahaha sasa hapa umemjibu nini? so mtu hasipokua na exclusive rights upon trademarks ndio anakosa kabisaa haki zake?? hahahahahahahahah, anyway nae aliwaomba hawa ndio wamsaidie so i wont bother my self.
 
Mh haya wakili msomi
well, mkuu swali zuri sanaa, kisheria hiko hivi, kuna makosa ambayo yanapelekwa mahakama kuu tu kama mauaji, uhaini, ufisadi wa pesa kubwa na madawa ya kiasi kikubwa lakini pia nyara za serikali, sasa makosa haya yote ni jinai, na kwa mujibu wa sheria za jinai hakuna kesi yoyote itakayopelekwa mahakama kuu moja kwa moja pasipo kupitia mahakama ya wilaya au hakimu mkazi, lengo na maudhui ni kukamilisha ushahidi na utaratibu wote utakao tumika mahakama kuu.

kwaio utaona mshtakiwa anaambiwa na hakimu kua "mshitakiwa mahakama hii haina uwezo wa kusikiliza kesi hii, hapa imekuja kwa maulizo na hautopaswa kusema chochote",,, sasa akishaambiwa hivi upande wa mashtaka/jamhuri utamsomea orodha ya mashahidi watakao toa ushahidi wao mahakama kuu, utamsomea vile vile vizibiti vitakavyotumika kama ushahidi, hatua hii kisheria huitwa PI-Preliminary Inquiries, then wakimaliza utaritibu huu, file linachukuliwa kama lilivyo linapelekwa mahakama kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa rasmi.

sasa kisheria ktk masikilizo ya kesi yoyote ya jinai ni lazima kuwe na masikilizano ya awali ambayo huitwa Preliminary Hearing ambapo hii ina dhima ya kusave muda ambapo kuna vitu mshitakiwa ata vikubali na havitazungumziwa tena kwenye kesi na kuna document hapa inaitwa Memorundum of agreed facts itasainiwa na mshitakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama umepaniki bLAza??

Relax, you aint on trial here.

All Craps aside, my question is,

Hypothetically, the GOVERNMENT ktk criminal prosecution wameingia Nolle Prosequi, kwenye charge ambayo, on the face of it, it is INCURABLY DEFECTIVE,
Sasa basi we msomi wa ngazi ya juu ya sheria achana na Mchungaji Mtikila R.I.P aliyekua na cheti cha sheria, unadhani nini ni REMEDY kwa jamaa wa DEFENSE?
hahahahaha anyway nimesikitika, kwanza umejifanya ni mjuaji kiasi ukakosa heshima kwangu tangu awali, pili ni swali ulilouliza hahahaha hili swali niliulizwa wakati nimemaliza criminal procedures ii almost miaka kama kumi hivi iliyopita,,, kwa majigambo na mbwembwe zako nilijua utaleta boongeee la swali, but umeni disapoint kabisaa, anyway

s.91 ya CPC ambayo inampa power dpp kuiondoa kesi ktk stage yoyote ile chini ya nolle prosequi, na kwa bahati mbaya au nzuri sheria hii haijataja remedies zozote juu ya nolle na kwa kua ni inaondoa kesi kabisa ktk mahakama na haiwezi kua rendered as aetrofois, there is no way accused akaimove mahakama kuhusiana na swala hilo kwakua hana tena ground za kisheria,,, ila kama Republic wangeiondoa case hio kwa 255 ndio remedies zingeweza kupatikana.
 
well, mkuu swali zuri sanaa, kisheria hiko hivi, kuna makosa ambayo yanapelekwa mahakama kuu tu kama mauaji, uhaini, ufisadi wa pesa kubwa na madawa ya kiasi kikubwa lakini pia nyara za serikali, sasa makosa haya yote ni jinai, na kwa mujibu wa sheria za jinai hakuna kesi yoyote itakayopelekwa mahakama kuu moja kwa moja pasipo kupitia mahakama ya wilaya au hakimu mkazi, lengo na maudhui ni kukamilisha ushahidi na utaratibu wote utakao tumika mahakama kuu.

kwaio utaona mshtakiwa anaambiwa na hakimu kua "mshitakiwa mahakama hii haina uwezo wa kusikiliza kesi hii, hapa imekuja kwa maulizo na hautopaswa kusema chochote",,, sasa akishaambiwa hivi upande wa mashtaka/jamhuri utamsomea orodha ya mashahidi watakao toa ushahidi wao mahakama kuu, utamsomea vile vile vizibiti vitakavyotumika kama ushahidi, hatua hii kisheria huitwa PI-Preliminary Inquiries, then wakimaliza utaritibu huu, file linachukuliwa kama lilivyo linapelekwa mahakama kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa rasmi.

sasa kisheria ktk masikilizo ya kesi yoyote ya jinai ni lazima kuwe na masikilizano ya awali ambayo huitwa Preliminary Hearing ambapo hii ina dhima ya kusave muda ambapo kuna vitu mshitakiwa ata vikubali na havitazungumziwa tena kwenye kesi na kuna document hapa inaitwa Memorundum of agreed facts itasainiwa na mshitakiwa.
Garbage
Umeelewa swali kweli ww?
 
hahahahahahaha sasa hapa umemjibu nini? so mtu hasipokua na exclusive rights upon trademarks ndio anakosa kabisaa haki zake?? hahahahahahahahah, anyway nae aliwaomba hawa ndio wamsaidie so i wont bother my self.
We mwehu kweli kweli naona nisikujibu tena mana kichwa maji bumunda...

Nyie watu kama nyie ndo inabidi majaji wawapige suspensions mrudi tena shuleni hamfai kupractice law.
 
Back
Top Bottom