Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Your Ass? I heard it aint Virgin!Uzalendo my ass
Wewe unajua kila kitu???
Wewe unaweza kufundisha mtu na akakuelewa kweli!?
Atujakataa kupinga ila unapopinga elimisha sio unamcrash mtu alafu umekaa kimya tu... unategemea tukuelewe vip
Sent using Jamii Forums mobile app
Your Ass? I heard it aint Virgin!
Crash? U never seen me crashin anyone bcuz if u dd, that aint a crash!
I don't know everything but I know A LOT, and you can do nothin about it, indeed no bitch can take it away!
Any problem with me Mr. LAWYER???
Tatizo nyie mnaojiita "Wasomi" ni mambumbu sana afu hampendi kuambiwa ukweli!We mdada una maneno sana ila no sweat wanawake ni kawaida yenu. Kukaa kmya pia ni jibu kwa mpumbavu..acha tukuachie uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
dada angu kwanini unapenda matusi, alafu acha ujinga, ukibisha kitu bishia kwa hoja, jana umenibishia sehemu mara mbili nika kwambia haya leta wewe majibu yako au ukiona kuna sehemu mim nimekosea wewe kosea alafu nakupa laki hapo hapo, ukashindwa, ukakimbia, acha upuuzi wa kuaribu uzi wa watu ambao pengine wangepata msaada bure tu, na mie narudia kukwambia, dada angu acha mdomo tuongee facts, ukiona kuna sehemu nimekosea mim tangu jana hapa paseme na mim ntakulipa laki moja kwa kuweza kukosoa na kupagundua mahala hapo.Tatizo nyie mnaojiita "Wasomi" ni mambumbu sana afu hampendi kuambiwa ukweli!
hahahaha achana nae, kijana ana stress kamaliza chuo cha bagamoyo mwaka juzi basi hasira anazileta mitandaoni kwa watu asio wafahamu.Dogo kuanzisha uzi jf wala hakuhitaji malipo
Kwanini usianzishe uzi wako wadau wapo watakufata tu kuuliza shida zao. Apa unatuzingua tu ata km kuna sehem mtoa uzi ameteleza tunarekebishana kisomi sio kuattack mtu.
Huo unaofanya ni utoto na sio usomi.
Damn it
Sent using Jamii Forums mobile app
kesi hio ilikwisha sikilizwa hapo kabla kwa maana ya traffic case kabla hii ya madai? hukumu yake ilikuaje kama ilisikilizwa hapo kabla?Nimefunguliwa kesi ya madai iliyotokana na traffic case na imekuja kwangu binafsi na kwa bima, je nini cha kufanya hapo?
Hivi we ni practioner kweli?? Like seriously? Kabisa someone anakutrust umtetee? Unapanic fasta? Unatoa mapovu? Sasa sijui we ni practitioner gani.hahahaha achana nae, kijana ana stress kamaliza chuo cha bagamoyo mwaka juzi basi hasira anazileta mitandaoni kwa watu asio wafahamu.
See now? We ndo unajiita msomi? Unajua fika unaongea na mwanaume yet unaniita dada sasa inaonesha mm na ww nani kilaza.dada angu kwanini unapenda matusi, alafu acha ujinga, ukibisha kitu bishia kwa hoja, jana umenibishia sehemu mara mbili nika kwambia haya leta wewe majibu yako au ukiona kuna sehemu mim nimekosea wewe kosea alafu nakupa laki hapo hapo, ukashindwa, ukakimbia, acha upuuzi wa kuaribu uzi wa watu ambao pengine wangepata msaada bure tu, na mie narudia kukwambia, dada angu acha mdomo tuongee facts, ukiona kuna sehemu nimekosea mim tangu jana hapa paseme na mim ntakulipa laki moja kwa kuweza kukosoa na kupagundua mahala hapo.
hii ndio sms ya mwisho kukujibu unless ukosoe kitu nikujibu, ila huu ujinga ujinga wa kutaka umaarufu unaweza kuendelea nao tu hakuna shida, sisi tulishavuka huko miaka mingi sanaa.
hivi hata wewe huoni aibu tangia peji ya kwanza una comment ujinga tu, we hauna kazi ya kufanya? kwaio wewe unashinda mitandaoni ili kutukana watu tu sio? hahahahaha Tanzania kubwa sanaaa, sasa dada angu ukija kua mkubwa nani atakae kuoa?
hahahahaha safi sanaa, sikua na haja ya kukujibu hapo awali, ila nilivyoona unatukana matusi mengi nikaona, nope this is too much and i wont keep quit on these bunches of stupidity, nimekujibu kwa aina yako, how about that? know umehumia right? hahahaha,,, siwezi kupaniki kwa mtu ambae ni hopless, ila nimekujibu kwa jinsi ulivyopaswa kujibiwa, embu angalia texts zako hapo juu umetukana matusi ya aina yote.Hivi we ni practioner kweli?? Like seriously? Kabisa someone anakutrust umtetee? Unapanic fasta? Unatoa mapovu? Sasa sijui we ni practitioner gani. See now? We ndo unajiita msomi? Unajua fika unaongea na mwanaume yet unaniita dada sasa inaonesha mm na ww nani kilaza.
Mi nafanya street fighting kind of practice, uliza sehemu nilizopita...nimeacha alama.
Much to your dismay, nashindwa kudisclose hapa maana I chose to be anonymous on here.
Ila Ask Them and they Will Tell You!
Sikuaribii uzi ila kama unalisha wadau matango pori, For God's Sake I have the ULTIMATE DUTY to intervene in order to save the PROFESSION from gang rape If I may call it!
Tafuta maamuzi ya high court ktk kesi ya yule Shekhe dhidi ya Babu TalleStanley Mitchell na PTER
Hivi ikiwa mtu anatumia kazi zangu bila idhini na kwanjia moja ama nyingine ndio chagizo ya mapato yake, mfano: Logo niliyounda mimi lakini akaidurufu na kutumia katika kampuni yake. Sheria inasemaje kuhusu mtu wa namna hi?
Kesi ya traffic ilishaisha tangia mwaka jana na iliisha kwa kukubali kosa.kesi hio ilikwisha sikilizwa hapo kabla kwa maana ya traffic case kabla hii ya madai? hukumu yake ilikuaje kama ilisikilizwa hapo kabla?
well, kimsingi hapo mkuu ni kuitikia wito na kujiandaa kujenga hoja zitakazo saidia kurahisisha adhabu, kitaaluma wanatumia teminolojia inayoitwa Estoppel kwa maana uliyoyakubaliana awali ni ngumu kuyakataa sasaa, na wengi hua wanaanzai huko kwenye traffic case wakishinda basi hua wanaibeba ile judgement kama ilivyo kwenda kudaia fidia,,, traffic cases ni mtego, mtu anaona hapa najichosha ya nini ngoja nikubali tu nilipe fine laki na 50 kesi iishe, wengi hawajui outcomes zake.Kesi ya traffic ilishaisha tangia mwaka jana na iliisha kwa kukubali kosa.
hakika mkuu, umesema vyema kabisa.Nadhani mmejionea watanzania tulivo, mtu anapotoa mada kama hizi zenye kuhitaji umakini ktk ujibuji,zenye kuhitaji weledi na kukosoa palipo kosea lkn utaona mtu anaanza matusi,kejeli kumwona mwenzie si chochote,
Sheria ni taaluma ambayo uhitaji mtu kuwa ktk trend ya usomaji wa sheria, sheria uwa unafundishwa citation of law sio kuongea au kutoa majibu from the vacuum yasiyo na any citation or authorities.
Prof Safari gwiji wa sheria naye aliwahi kusema licha ya kuwa yeye ni prof lkn zipo sheria zinamtatiza.
Muhimu jifunze kumweshimu mtu,jifunze busara japo najua watu tumetofautiana ktk kuzaliwa na kulelewa,wapo waliozaliwa kwa kutanguliza kichwa wengine kwa kutanguliza miguu. Kwa utofauti huo lzma na utofauti ktk mambo mengine uwepo.
Jibu kwa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shekhe na Babu Tale ndio nani?Tafuta maamuzi ya high court ktk kesi ya yule Shekhe dhidi ya Babu Talle
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Ila kwaupande wa jamaa anadai gharama za matibabu yake, chombo chake(pikipiki), kukaa muda mrefu bila kazi na uharibifu mwingine...japo hata hivyo gari langu lina bima kubwa.well, kimsingi hapo mkuu ni kuitikia wito na kujiandaa kujenga hoja zitakazo saidia kurahisisha adhabu, kitaaluma wanatumia teminolojia inayoitwa Estoppel kwa maana uliyoyakubaliana awali ni ngumu kuyakataa sasaa, na wengi hua wanaanzai huko kwenye traffic case wakishinda basi hua wanaibeba ile judgement kama ilivyo kwenda kudaia fidia,,, traffic cases ni mtego, mtu anaona hapa najichosha ya nini ngoja nikubali tu nilipe fine laki na 50 kesi iishe, wengi hawajui outcomes zake.
embu niambie victim ktk madai yake ya sasa anadai nini? gharama za matibabu? bima ya maisha? fidia gani?
wiki mbili zilizopita kisutu pale rafiki yangu alikua ana mtetea mteja wake ktk kesi kama yako, madai yao ilikua wanaiomba mahakama iwaruhusu wakamalizane na huyo mzee nje ya mahakama tu.
kama una bima kubwa ambayo ni comprehensive ondoa shaka, jamaa hao wa bima ndio watakua responsible na watalipa kila kitu.Dah! Ila kwaupande wa jamaa anadai gharama za matibabu yake, chombo chake(pikipiki), kukaa muda mrefu bila kazi na uharibifu mwingine...japo hata hivyo gari langu lina bima kubwa.
mdogo angu nikuulize swali unajua kiingereza? na wewe una akili timamu? soma rule 31(1) alaf niambie umeelewa nin?
dada angu niulize swali lolote duniani, niko radhi kukujibu.
Mkuu mbona badala ya kujibu hoja unaanzisha personal attacks? Inaonyesha ukiwa mahakamani ni rahisi sana mtu kukushinda!! Yani kaswali kadogo tu umetoka kwenye reli!hahahahaha ulete majibu hapa, dogo soma, acha kupoteza muda mitandaoni, umenichekesha sanaa leo, serius wewe unaweza kua ni wakili alaf haujui expiration of time on probate matters? hahahah