Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Your Ass? I heard it aint Virgin!

Crash? U never seen me crashin anyone bcuz if u dd, that aint a crash!

I don't know everything but I know A LOT, and you can do nothin about it, indeed no bitch can take it away!

Any problem with me Mr. LAWYER???
Jiinga ww,,
 
Mbona Pter hujaelewana nae?

Unasema Ulitokea mtaani? Mi mbona nipo huku na sijakuona?
halafu we ni kula kulala nimegundua, na utoto unakusumbua, kaka wa watu kajitolea bure kutupa msaada wa kisheria ww unaleta utoto wako
 
tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24.
 
Nisaidie kujua, ikiwa nikemdhamini mtuhumiwa, kesi ikatolewa hukumu mfano mtuhumiwa kafungwa jela mwaka mmoja au fine, pia ametakiwa kulipa fedha alizoiba. Nikamlipia fidia ili asiende jela. Baada ya kuwa nje mkosaji yule hataki kutokea mahakani au anakimbia kulipa fedha kama amri ya mahakama inavyotaka.

1. Je mimi mdhamini bado nawajibika mpaka hapo tulipofikia?

2. Huyu mdai afanye nini ili apate stahiki zake. Kesi ilikuwa ya jinai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikawaida udhamini hua una ukomo wake rasmi,ambapo ukomo wa udhamini ufikia mwisho pale tu hukumu inaposomwa na eidha mtuhumiwa amekutwa na hatia au hana hatia, na kama uliweka bond ya nyumba au hela basi mahakama hua inatoa oda vitu ivyo viachiwe.

hakutakua na mdhamini tena baada ya kesi kuisha, ktk kesi yako hapo umesema hukumu ilitoka na ukamlipia fine basi ni kesi ilishaisha wewe hauusiki tena na mtuhumiwa huyo na ata kama kulikua kuna mengineyo labda alaf mtuhumiwa akakimbia wewe hautousika kivyovyote wala kuhojiwa au kukamatwa sababu ya kukimbia kule.

mdai afanye nin? nashindwa kuelewa hapa maana kesi ilikua ya jinai na hukumu ilishatoka na adhabu ilitekelezeka kwa faini kulipwa, mdai hua hafaidiki na chochote toka kwenye faini zinazotozwa na mahakama, njia nyepesi kwake na iliyobora basi afungue kesi nyingine ya madai.
 
Ahsante mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).

tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24.

wakili.
Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo...mtuhumiwa alihukumiwa kulipa fedha alizoiba ndani ya siku 30. Yani kutoka tar 31/01/2019 hadi mnamo tr 3 mwezi wa tatu...swali langu je asipotekeleza hilo nn huwa kinafuata? Na je nini matokeo ya mlalamikaji? Pia nfanye maandalizi gani kabla kuisha kwa muda aliopangiwa?

hii hua tunaiita kikaza hukumu, kikawaida hua inafanyika baada ya muda kutajwa ambao mdaiwa anapaswa kua amelipa umeisha, sasa execution/kikaza hukumu kwa mahakama za wilaya kwenda mbele hua zinaendeshwa kama kesi kabisaa, ila mahakama ya mwanzo ukirudi unapeleka malalamiko yako pale kwa maandishi au kwa njia ya mdomo, alaf yule mdaiwa atapelekewa samansi aje ajibu ni kwanini mpaka muda huo hajatelekeza hukumu hio, asipotolewa sababu za msingi na analipaje ilo deni basi wewe unaweza iomba mahakama itoe oda ya kuuza mali zake ili deni lifidishiwe.
 
Asante sana... Je kuna umuhimu wa mm kujua mali anazomiliki ili kujiandaa endapo hatalipa. Hiyo hela.. Ili ninavyopeleka ombi niwe najua uhalali wa mali zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ka kwambia nani kua hakuna ukomo? okei iko hivi, haki ya kusimamia mali za marehemu almaarufu kama mirathi ni lazima ithibitishwe na mahakama aidha marehemu awe ameacha wosia au hajaacha,vyote ni mahakama ndio itathibitisha au ita teua kutokana na mapendekezo ya ndugu wa marehemu, hatua hii huitwa application for letter of probate or application for granted probate, sasa kwa mujibu wa sheria za mirathi maombi haya yanapaswa kufanyika ndani ya miaka mitatu toka kifo cha marehemu, na muda huu ukipita basi admistrator general atapaswa kuziweka chini ya uangalizi wake mali hizo mpaka pale ndugu wa marehemu watakapo jitokeza na kuomba wapewa ruhusa na muda kuongezwa wa mahakama.
Muwe mna_argue na authority jaman ndo taaluma ya sheria ilivyo. (i.e provisiion of a statute or case law)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu watumishi wengi wanakua chini ya sheria ndogo ndogo za almashauri husika, sheria ya umma imeruhusu taasisi za kiserikali kutengeneza sheria ndogo ndogo ambazo zitacontrol mahusiano makazini na nidhamu za wafanyakazi, uenda huyo mwajili wako ametumia sheria moja wapo kati ya hizo, na ingekua vizuri pia kupitia sheria za taasisi husika uliyopo, uenda kuna kifungu kimempa mamlaka hayo uyo afisa utumishi.
Evasive comment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
okei, sema ya kwako, na ikiwa tofauti nakupa laki moja hapa hapa, alafu uelewe hivi vitu sio tunaviandikaa tu hapa wenzako tunavifanya kila siku.
Mkuu, umeeleza vzr sema umekosea kusema mpaka, atakapolipa ndo unatoka NO, ina muda wa kukaa gerezani huwekwa na Mahakama iliyotoa amri hyo (na practise ni 6 months ONLY)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu wakili sijui alisoma sheria gani huenda ni za Libya

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika ethics za kisheria ww pter ndo unakosea, unakuwa na hisia za hasira kisa tu kupingwa na kusema amesoma za Libya. Law is about argument.

Jaribu kusoma RULING za HC pale ambapo kuna dissenting opinion or conflict decision of the same Court horizontally.

Plz use Legal language to challenge ur fellow learned member of the bar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well, mkuu swali zuri sanaa, kisheria hiko hivi, kuna makosa ambayo yanapelekwa mahakama kuu tu kama mauaji, uhaini, ufisadi wa pesa kubwa na madawa ya kiasi kikubwa lakini pia nyara za serikali, sasa makosa haya yote ni jinai, na kwa mujibu wa sheria za jinai hakuna kesi yoyote itakayopelekwa mahakama kuu moja kwa moja pasipo kupitia mahakama ya wilaya au hakimu mkazi, lengo na maudhui ni kukamilisha ushahidi na utaratibu wote utakao tumika mahakama kuu.

kwaio utaona mshtakiwa anaambiwa na hakimu kua "mshitakiwa mahakama hii haina uwezo wa kusikiliza kesi hii, hapa imekuja kwa maulizo na hautopaswa kusema chochote",,, sasa akishaambiwa hivi upande wa mashtaka/jamhuri utamsomea orodha ya mashahidi watakao toa ushahidi wao mahakama kuu, utamsomea vile vile vizibiti vitakavyotumika kama ushahidi, hatua hii kisheria huitwa PI-Preliminary Inquiries, then wakimaliza utaritibu huu, file linachukuliwa kama lilivyo linapelekwa mahakama kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa rasmi.

sasa kisheria ktk masikilizo ya kesi yoyote ya jinai ni lazima kuwe na masikilizano ya awali ambayo huitwa Preliminary Hearing ambapo hii ina dhima ya kusave muda ambapo kuna vitu mshitakiwa ata vikubali na havitazungumziwa tena kwenye kesi na kuna document hapa inaitwa Memorundum of agreed facts itasainiwa na mshitakiwa.
Maelezo mazuri pia naongeza hayo yanaitwa "COMMITTAL PROCEEDINGS"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mdogo angu nikuulize swali unajua kiingereza? na wewe una akili timamu? soma rule 31(1) alaf niambie umeelewa nin?
Mkuu, 666 chata "HAPO HAKUNA UKOMO"

Wakati wa kuomba Mirathi hutegemea na marehemu alikufa kwa kuacha wosia (testacy) ama bila wosia (intestacy). Sasa wakt wa kufungua MIRATHI huwa kuna nyaraka zinaambatanishwa, ambazo pamoja na mambo mengine ni:-

1. Mhutasari wa wanaukoo au wosia
2. Cheti cha kifo kutoka RITA
3. fomu za mirathi ikiwa imejazwa sahihi
4. Ada ya mahakama n.k

Vitu hv vinatakiwa ndani ya miezi 3. Sasa kanuni ya 31 inaweka mazingira kuwa endapo mtu hataleta hv vitu ndan ya miaka 3 basi aongezee (i.e 5. hapo juu) maelezo ya kwa nn amechelewa zaidi ya miaka 3. Akiambatanisha tu maelezo basi kesi inafunguliwa. Na maelezo hayo sio extension of time kama ilivyo kwny torts (3yrs), contract (6yrs) , land (12yrs), Fatal accident 6 months) n.k

So naungana na PTER kuwa hakuna ukomo ili kuna kuongeza nyaraka baada ya miaka 3 kupita.

NB: Sheria hupendeza sana kutoa hoja na supporting authority (section of law or precedence)
Screenshot_2019-02-23-11-34-27.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, 666 chata "HAPO HAKUNA UKOMO"

Wakati wa kuomba Mirathi hutegemea na marehemu alikufa kwa kuacha wosia (testacy) ama bila wosia (intestacy). Sasa wakt wa kufungua MIRATHI huwa kuna nyaraka zinaambatanishwa, ambazo pamoja na mambo mengine ni:-

1. Mhutasari wa wanaukoo au wosia
2. Cheti cha kifo kutoka RITA
3. fomu za mirathi ikiwa imejazwa sahihi
4. Ada ya mahakama n.k

Vitu hv vinatakiwa ndani ya miezi 3. Sasa kanuni ya 31 inaweka mazingira kuwa endapo mtu hataleta hv vitu ndan ya miaka 3 basi aongezee (i.e 5. hapo juu) maelezo ya kwa nn amechelewa zaidi ya miaka 3. Akiambatanisha tu maelezo basi kesi inafunguliwa. Na maelezo hayo sio extension of time kama ilivyo kwny torts (3yrs), contract (6yrs) , land (12yrs), Fatal accident 6 months) n.k

So naungana na PTER kuwa hakuna ukomo ili kuna kuongeza nyaraka baada ya miaka 3 kupita.

NB: Sheria hupendeza sana kutoa hoja na supporting authority (section of law or precedence)View attachment 1029965

Sent using Jamii Forums mobile app
okei iko hivi,ni kwamba mtu anapokufa whether ni testate au ni intestate basi heirs/executor/administrators or anyone or whatsoever anapaswa kufanya application mahakamani ili awe granted either letter of administration au probate, ni mahakama ndio inayoampitisha mtu rasmi, sasa miaka mitatu ikipita bila mtu yoyote kujitokeza kufanya application basi mali hizo upaswa kua chini ya uangalizi wa administrator general (rejea kesi ya emmanuel marangakisi), ila baadae sasa mtu akija kufanya application baada ya muda huo wa miaka mitatu kupita basi ndio atapaswa kutumia hio rule 31 na kwenye petition yake aweke sababu za kuchelewa huko.... huo muda mwingine uliousemea wewe wote upo kwenye limitation act.

anyway kama ulipita law school, hii ndio ilikuaga moja ya mitego ya walimu wetu pale miaka hio, nakumbuka tunapewa swali tumechengeshewa nchi za common wealth pamoja na muda, so ilikua great debate of all time.... ila anyway unaweza kuendelea na hivyo unavyoelewa... thanks for the comment na kukosoa kwa kadri ulivyo elewa.
 
Back
Top Bottom