Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kama hatoridhika na maoni yako bora auwawe tuSasa wakati hiyo Marumo Galants inafuzu kucheza hayo mashinfano, si ilikuwa ina sifa zinazotakiwa! Maana yake ilikuwa katika zile timu nne bora za juu katika ligi yao.
Yaani ni sawa na kusema Chelsea nayo iangaliwe na UEFA, maana kwenye ligi ya Uingereza kwa sasa iko nafasi ya 11, huku ikitakiwa pia kucheza na Real Madrid kwenye Robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya! Na msimu uliopita, ilishika nafasi ya 4 kwenye ligi ya EPL!
Hivyo naomba nihitimishe kwa kusema kwamba hoja yako haina mashiko. Na uniwie radhi, kama hutaridhishwa na haya maoni yangu.
Naona unajitahidi kurekebisha alichokiandika ndugu yako, ili msionekane namna mlivyo mbumbumbu!Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Ni mazezetaUTOPOLO WOTE HAWANA AKILI TIMAMU
Ni sawa na hao Raja waliowapiga ndani nje na kwenye ligi wapo nafasi ya 5 huko na wakati huo anayeongoza ligi yupo CAFCC.Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Umekurupuka sana. Hii timu ya Kabylie umeiona? Imefuzu robo fainali champion leagueKuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.
Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.
THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT
Haya makasiriko si bureHii nchi imejaa majitu mapumbavu sana. Basi tu ni kwamba kisheria hairuhusiwi kuyaua *****
Mashabiki wa utopolo mbona mna hasira hivi .🤣🤣🤣Na wanamachale sana kutoruhusu bomba kuuzwa kama njugu kama marekani me ningeanza na mapungazeze manake yapo mengi sana huku kino...
Mtoa mada ikimpendeza, awaombe Mods kuufuta huu uzi wake, ili kulinda heshima yake. Maana mihemko yake imemponza.Umekurupuka sana. Hii timu ya Kabylie umeiona? Imefuzu robo fainali champion league View attachment 2576411
Ina viporo vingapi?Umeangalia JS Kablie,Ya pili kutoka mwisho na ipo champions ligi
Kwa maana hiyo hata watani wako kuongoza ndani na nje hakuleti taswira halisi ya timu sio😂Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Nini kipimo chako cha udhaifu na uimara 🤔Ila kiukweli Confederation cup timu zilizoongoza makundi ukitoa Utopolo ni dhaifu ukilinganisha na zile zilizoshika nafasi za pili!
Ahsante mkuu,kuwaelimimisha hawa jamaa inabidi uwe na Mo extra pembeniHoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
kuna msimu Leeds Utd aliingia nusu fainali ya Uefa Champions League huku akiwa ameshuka daraja katika Premier LeagueKuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.
Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.
THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT
Ww ni mjinga sana [emoji706],haishangazi kuona nchi hii ipo hapa ilipo maana watu wenyewe wengi ni kama ww.Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.
Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.
THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT
Ww ni mjinga sana [emoji706],haishangazi kuona nchi hii ipo hapa ilipo maana watu wenyewe wengi ni kama ww.
Hiyo team msimu uliopita ilikua top four na ndiomana ikafuzu ktk mashindano ya CAF sasa hapo hoja yako ni ipi?
Kipindi Chelsea wanachukua UEFA msimu ule walikua na msimu mbovu ktk ligi lkn wakaenda kubeba uefa, na msimu huu Chelsea ni ya 11 lkn wapo robot final UEFA je UEFA ni kombe la loosers?
Ww ni takataka View attachment 2576452
Huwezi kushabikia arsenal ukawa na akili..!!UTOPOLO WOTE HAWANA AKILI TIMAMU
Mi ningeaza na yule afande wa zenji.Na wanamachale sana kutoruhusu bomba kuuzwa kama njugu kama marekani me ningeanza na mapungazeze manake yapo mengi sana huku kino...
Bora wewe kolo mwenzake anaweza kukuelewakuna msimu Leeds Utd aliingia nusu fainali ya Uefa Champions League huku akiwa ameshuka daraja katika Premier League