Ushauri: CAF waangalie upya sifa za timu kushiriki kombe la shirikisho

Tena ni ile takataka ya kuchoma moto
 
Bahati mbaya kati ya hao waTanzania wenye akili Utopoloni Jangwani Yanga kuna wawili pekee wenye akili
ndio nasema tena,watanzania wenye akili wachache, kumbe huko wako wawili tu
 
UTOPOLO WOTE HAWANA AKILI TIMAMU
mkuu jifunze maswala ya mpira
maana unaonekana umekurupuka
mbaya zaidi umeonekana ni shabiki wa simba
halaf una akili za watu wa yanga.
umetutia aibu dah!
 
Looser [emoji777]

Loser [emoji3581]


Mkiambiwa hamna akili mnakasirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kablyie ni wa pili kutoka mwisho ligi ya Algeria ila kafuzu robo final champion ligi je na huko simba ni kwa waliofeli? Ww ni takataka..over
 
Imagine serikali imetumia resources zake kuhesabu watu kama hawa!
 
Hoja ikijengwa kwa msingi wa chuki na mihemuko badala ya facts inakuwa hoja dhaifu
 
Hao Gallants kuongoza kundi nadhani kuna udanganyifu ulifanyika katika mechi ya mwisho. Walikuwa wawe wa pili.
 
JF siku hizi kuna mataahira mengi, ila sikujua naweza kukutana na taahira la kiwango hiki.
 
Huu uzi mbona uto wanaupinga Sana ? Ukweli mchungu , dawa imewaingia
 
Kablyie ni wa pili kutoka mwisho ligi ya Algeria ila kafuzu robo final champion ligi je na huko simba ni kwa waliofeli? Ww ni takataka..over
Mzee Rage aliona mbali sana FAR Rabat yupo shirikisho na anaongoza ligi ya Morocco mbele ya Raja na Wydad walio wagonga mbele na nyuma hawa jamaa sijui akili walipeleka wapi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…