New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Tena ni ile takataka ya kuchoma motoWw ni mjinga sana [emoji706],haishangazi kuona nchi hii ipo hapa ilipo maana watu wenyewe wengi ni kama ww.
Hiyo team msimu uliopita ilikua top four na ndiomana ikafuzu ktk mashindano ya CAF sasa hapo hoja yako ni ipi?
Kipindi Chelsea wanachukua UEFA msimu ule walikua na msimu mbovu ktk ligi lkn wakaenda kubeba uefa, na msimu huu Chelsea ni ya 11 lkn wapo robot final UEFA je UEFA ni kombe la loosers?
Ww ni takataka View attachment 2576452