Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui. Mnatakiwa kuwa na mechanism ya kuverify intel hiyo, ikiwezekana kufanya surveillance haraka eneo hilo.
Mmgeweza kujipanga haraka na kwenda na kundi la watu wa kutosha kuidhibiti hiyo nyumba. Kisha mfanye msako mkishirikiana na kiongozi wa serikali za mitaa!
Au mfanye operation kijasusi zaidi, mnavamia kimya kimya na kumwokoa mtu wenu kisha mnakwenda kumwacha hospitali.
Kulalamika mitandaoni it's good but won't save his life. Waliomteka hata hawapo kwenye utaratibu rasmi wa mifumo. Yaani hata RPC hajui nini kinaendelea.
Punguzeni unyonge, haki haiombwi, inadaiwa na kuchukuliwa inapobidi!