Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Kwa mtazamo huu unachotaka kusema ni CHADEMA iwe na wings za counter intelligence na mgambo(militia) kuweza kuthibiti na kuokoa wanachama wake....?Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui. Mnatakiwa kuwa na mechanism ya kuverify intel hiyo, ikiwezekana kufanya surveillance haraka eneo hilo.
Mmgeweza kujipanga haraka na kwenda na kundi la watu wa kutosha kuidhibiti hiyo nyumba. Kisha mfanye msako mkishirikiana na kiongozi wa serikali za mitaa!
Au mfanye operation kijasusi zaidi, mnavamia kimya kimya na kumwokoa mtu wenu kisha mnakwenda kumwacha hospitali.
Kulalamika mitandaoni it's good but won't save his life. Waliomteka hata hawapo kwenye utaratibu rasmi wa mifumo. Yaani hata RPC hajui nini kinaendelea.
Punguzeni unyonge, haki haiombwi, inadaiwa na kuchukuliwa inapobidi!
Kuna kiongozi wa JW amesema wapo viongozi wanachomeka watu wao jeshini, je lengo lao nini? 👇Kwa mtazamo huu unachotaka kusema ni CHADEMA iwe na wings za counter intelligence na mgambo(militia) kuweza kuthibiti na kuokoa wanachama wake....?
Huo mfumo upo Burundi kama sikosei!.......... labda tuwaige
Chadema hakuna tija Tena maana uchaguzi wamesusa, eti chama kikubwa Cha upinzani, galagabahoMtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui. Mnatakiwa kuwa na mechanism ya kuverify intel hiyo, ikiwezekana kufanya surveillance haraka eneo hilo.
Mmgeweza kujipanga haraka na kwenda na kundi la watu wa kutosha kuidhibiti hiyo nyumba. Kisha mfanye msako mkishirikiana na kiongozi wa serikali za mitaa!
Au mfanye operation kijasusi zaidi, mnavamia kimya kimya na kumwokoa mtu wenu kisha mnakwenda kumwacha hospitali.
Kulalamika mitandaoni it's good but won't save his life. Waliomteka hata hawapo kwenye utaratibu rasmi wa mifumo. Yaani hata RPC hajui nini kinaendelea.
Punguzeni unyonge, haki haiombwi, inadaiwa na kuchukuliwa inapobidi!
Tangu waanze kumdharau Yericko Nyerere, MasterSpy, wamekuwa watu wa hovyo sana

Hapa ilipofika inabidi wawe nao, ccm wanao ila hataki wengine wawe naoKwa mtazamo huu unachotaka kusema ni CHADEMA iwe na wings za counter intelligence na mgambo(militia) kuweza kuthibiti na kuokoa wanachama wake....?
Huo mfumo upo Burundi kama sikosei!.......... labda tuwaige
InapambaniwaMtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui. Mnatakiwa kuwa na mechanism ya kuverify intel hiyo, ikiwezekana kufanya surveillance haraka eneo hilo.
Mmgeweza kujipanga haraka na kwenda na kundi la watu wa kutosha kuidhibiti hiyo nyumba. Kisha mfanye msako mkishirikiana na kiongozi wa serikali za mitaa!
Au mfanye operation kijasusi zaidi, mnavamia kimya kimya na kumwokoa mtu wenu kisha mnakwenda kumwacha hospitali.
Kulalamika mitandaoni it's good but won't save his life. Waliomteka hata hawapo kwenye utaratibu rasmi wa mifumo. Yaani hata RPC hajui nini kinaendelea.
Punguzeni unyonge, haki haiombwi, inadaiwa na kuchukuliwa inapobidi!
Wajitahidi kuwa na watu (mamluki wao) ndani ya ccm na taasisi zake ili kupata taarifa nyeti kwa wakatiUshauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu
Mambo hayaendi hivyo.Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui. Mnatakiwa kuwa na mechanism ya kuverify intel hiyo, ikiwezekana kufanya surveillance haraka eneo hilo.
Mmgeweza kujipanga haraka na kwenda na kundi la watu wa kutosha kuidhibiti hiyo nyumba. Kisha mfanye msako mkishirikiana na kiongozi wa serikali za mitaa!
Au mfanye operation kijasusi zaidi, mnavamia kimya kimya na kumwokoa mtu wenu kisha mnakwenda kumwacha hospitali.
Kulalamika mitandaoni it's good but won't save his life. Waliomteka hata hawapo kwenye utaratibu rasmi wa mifumo. Yaani hata RPC hajui nini kinaendelea.
Punguzeni unyonge, haki haiombwi, inadaiwa na kuchukuliwa inapobidi!
Watakuwa wanauwa kama kuku, mbaya zaidi anaewafanyia hivyo ni genge tu la wahalifu ambalo hata sio mamlaka halali.Mambo hayaendi hivyo.
Intelinsia ya chama ni muhimu sana.Wajitahidi kuwa na watu (mamluki wao) ndani ya ccm na taasisi zake ili kupata taarifa nyeti kwa wakati
Hakika, wanajitahidi lakini wanaweza kufanya zaidi hususani kwenye hili la watu wao kuuawa.Inapambaniwa
Huo ndio mfumo wa vyama vyote vya siasa vya ukombozi, hata ANC walikuwa hivyo. Haikwepeki.Kwa mtazamo huu unachotaka kusema ni CHADEMA iwe na wings za counter intelligence na mgambo(militia) kuweza kuthibiti na kuokoa wanachama wake....?
Huo mfumo upo Burundi kama sikosei!.......... labda tuwaige
Kwasasa anayelalamikiwa ni CCM na kundi fulani kutoka Zanzibar. Ninkazi ya JWTZ kujua lengo lao.Kuna kiongozi wa JW amesema wapo viongozi wanachomeka watu wao jeshini, je lengo lao nini? 👇
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/reel/4150772891829447