Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
- Thread starter
-
- #21
Enzi la akina Lwakatare na Dr. Slaa walikuwa na inteligensia nzuri. Kwakuwa wakongwe hao wameanza kurudi wafanye kuijenga upya network yao na wasiwe waoga.Tangu waanze kumdharau Yericko Nyerere, MasterSpy, wamekuwa watu wa hovyo sana
Absolutely. CCM wanayo paramilitary wing hata kama sio official. Na inapewa msaada na polisi na TISS.Hapa ilipofika inabidi wawe nao, ccm wanao ila hataki wengine wawe nao
Chadema wanatakia wajue maadui zao hawafuati sheria, and they dont care, why wao wafuate the same thing
Wajirekebishe, isiwe kila mtu anakufa kivyake. Nyumbani kwa Mdude wangeweza kuweka kamera kifisho.Hatujafika huko ndugu, sio Tanzania 🇹🇿 unaizungumzia, labda wenzetu 🇰🇪 wamefikia hii levo!
Sie tuna ma-keyboard warriors!!!
Sasa raisi wa TLS anatoa tamko anakausha, mwenyekiti na makamu wake wanatoa matamko, chama nacho kinacharaza barua kubwa ya tamko unategemea nani sasa awe front line?
Umeandika kitu kizito sana.Kwasasa anayelalamikiwa ni CCM na kundi fulani kutoka Zanzibar. Ninkazi ya JWTZ kujua lengo lao.
Ideally ni kweli linapaswa kuvunjwa kabisaaa. Kutokutenda haki ni sehemu ya utamaduni wao, hata uwape seminar kiasi gani they will always return to thier default settings.Umeandika kitu kizito sana.
Sasa kuliko kufikia huko, kwanini jeshi la police lisivunjwe na kuanza upya?
Tunapitia ya Zambia,Ideally ni kweli linapaswa kuvunjwa kabisaaa. Kutokutenda haki ni sehemu ya utamaduni wao, hata uwape seminar kiasi gani they will always return to thier default settings.
Tatizo ni kwamba CCM inanufaika na hali hiyo ya jeshi la polisi, kwahiyo hawana sababu yoyote ya kulivunja na kuunda taasisi mpya.
Katika mazingira hayo, vyama vya upinzani vya kweli lazima vifafute njia mbadala ya kuendesha shughuli zao huku wakijihakikishia usalama wao wenyewe.
We ht akili yako ni uchwaraMtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui. Mnatakiwa kuwa na mechanism ya kuverify intel hiyo, ikiwezekana kufanya surveillance haraka eneo hilo.
Mmgeweza kujipanga haraka na kwenda na kundi la watu wa kutosha kuidhibiti hiyo nyumba. Kisha mfanye msako mkishirikiana na kiongozi wa serikali za mitaa!
Au mfanye operation kijasusi zaidi, mnavamia kimya kimya na kumwokoa mtu wenu kisha mnakwenda kumwacha hospitali.
Kulalamika mitandaoni it's good but won't save his life. Waliomteka hata hawapo kwenye utaratibu rasmi wa mifumo. Yaani hata RPC hajui nini kinaendelea.
Punguzeni unyonge, haki haiombwi, inadaiwa na kuchukuliwa inapobidi!
Unataka muendelee kuteka watu wasijilinde?W
We ht akili yako ni uchwara
Ni kweliKwasasa anayelalamikiwa ni CCM na kundi fulani kutoka Zanzibar. Ninkazi ya JWTZ kujua lengo lao.
Jamaa ametoa ushauri usiofaaKwa mtazamo huu unachotaka kusema ni CHADEMA iwe na wings za counter intelligence na mgambo(militia) kuweza kuthibiti na kuokoa wanachama wake....?
Huo mfumo upo Burundi kama sikosei!.......... labda tuwaige
Jeshi la police haliwezi badilika wala kubadilishwa kwani wayafanyayo ni kwa manufaa ya waliowaweka hapo,hivyo kwa upande wao wakifanyacho ndicho wanachopaswa kufanya.Umeandika kitu kizito sana.
Sasa kuliko kufikia huko, kwanini jeshi la police lisivunjwe na kuanza upya?
Anachukua hatua gani baada ya kutokujua?Hata mimi hua nasema.
Kuna watu wanapotea hata RPC hajui kimetokea nn, Ana baki kuhisi hisi tu kama sisi