Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Ndio maana nimewashtua mapema kwa sababu alikamatwa katika viwanja vya mahakama na ushahidi upo wazi wawahi mahakamani mapema kabla polisi hawajamuua.Anaweza asirudi kiutaniutani utasikia harudi tena na hajulikani alipo
Huyu mama sijui anataka kutengeneza taifa la aina gani yani simuelewi kwakweli.Polisi wanafanya mambo ya kijinga na ya kitoto sana. Sasa ile jana kila mtu aliona kiliichotokea! Picha pamoja na video zimemuonesha akipakiwa kwenye gari lao!
Wanafanya matukio yao ya utekaji mpaka mahakamani! Hata aibu hawana.
wanaweza wasimrudishe na waseme hawajui alipo, na hakuna wa kuwafanya kituNdio maana nimewashtua mapema kwa sababu alikamatwa katika viwanja vya mahakama na ushahidi upo wazi wawahi mahakamani mapema kabla polisi hawajamuua.
Alafu anaomba achaguliwe, huku hakuna anaeshindana naeHuyu mama sijui anataka kutengeneza taifa la aina gani yani simuelewi kwakweli.
Aise inashangaza sanaAlafu anaomba achaguliwe, huku hakuna anaeshindana nae
Hawajui kivipi na ushahidi upo wazi Kila mtu kaona alichukuliwa na polisi?wanaweza wasimrudishe na waseme hawajui alipo, na hakuna wa kuwafanya kitu
Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni sana chadema kwa mnayopitia ila Mungu ni huyu huyu hakuna lenye mwanzo linalokosa mwisho.
Wenda hili limeisha fanyiwa kazi haraka sana , chadema huwa wapo mbele ya mda siku zote.Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni sana chadema kwa mnayopitia ila Mungu ni huyu huyu hakuna lenye mwanzo linalokosa mwisho.
Kwani mzeealikibao kila mtu aliona amechukuliwa na nani na baadae nani wakakataa kwamba waliomchukua sio wao?Hawajui kivipi na ushahidi upo wazi Kila mtu kaona alichukuliwa na polisi?
Usijali, 29 October ndio mwisho waoKwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni sana chadema kwa mnayopitia ila Mungu ni huyu huyu hakuna lenye mwanzo linalokosa mwisho.
Nimeamini watanganyika wengi akili ni sifuri kubwa, mtu anakubali kuhongwa khanga, tshirt, na elfu 10, ili tu atoe kibali cha uovu kwa miaka mitano,Aise inashangaza sana
Mzee Kibao alichuchuliwa na watu wenye silaha,sasa hapo ni rahisi kukataa tofaouti na Heche aliyechukuliwa na Askari polisi na wanaonekana kabisaKwani mzeealikibao kila mtu aliona amechukuliwa na nani na baadae nani wakakataa kwamba waliomchukua sio wao?
Polisi wenyewe wamesema wanamchukua kwasababu ana mashtaka yake tarime.Mna unakika gani John Heche alichukuliwa na Polisi?