acheni kumtukana na kumdharirisha kumkoweni kwa staha muone kama haya mambo hayataisha, ila mkiendelea mtaliwa kiboga na kupotezwa kila siku kama heche anavyoliwa kiboga mda huu

Ametukanwaje? Wapi? Lini? Nanani? Wananchi kuhoji masuala ya msingi ya nchi Yao ni kosa? Kwa sheria ipi? Samahani sijawahi kutukana mtu yeyote humu JF ila we utakuwa wakwanza F.ck you.