LGE2024 Ushauri: CHADEMA ijiondoe kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.

Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,

Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.

NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!

Nawasilisha.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Mwaka 2019 CHADEMA ilisema hivi hivi.

CHADEMA siyo chama cha upinzani, ni kiinimacho cha CCM kuturidhisha tuone Kuna demokrasia.
Mambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,

Kushiriki uchaguzi ambao unajua ni batili Kisha ukadai umeibiwa kura ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!
 
Salaam, Shalom!!

HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.

Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,

Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.

NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni balili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!

Nawasilisha.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
CHADEMA, CUF, ACT na vingine sio vyama vya Upinzani hasa hapa nchini. Hatuna Upinzani thabiti Tanzania....Mtoe Tundu Lissu tu na zamani Christopher Mtikila

Hakuna chama kinaweza kususa kwa 100% kwasababu bado kinataka Ruzuku

Lasivyo kuanzia 2020 wasingethubutu TENA kushiriki mpaka leo
 
Wataiona rangi ya CCM wakati WA kurudisha fomu. Wakisavaivu huo muda watajua majukumu ya ffu ni yapi kuanzia saa2 usiku WA 27 .11. 2024
 
Salaam, Shalom!!

HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.

Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,

Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.

NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!

Nawasilisha.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Naingia mkono hoja, CHADEMA msishupaze shingo
 
Kujiandikisha hata CCM hawajiandikishi, nenda vituoni ndio utaona ajabu. Wananchi waliisha elewa uchaguzi ni ghiriba, sasa wameamua kuacha kushiriki ili muelewe.

Na uchaguzi mkuu mwakani ndio mtashangaa zaidi, watu wanataka vitambulisho tu, uchaguzi wa nini ikiwa mnaweza kuteuwa watawala nchi nzima?
 
Wataiona rangi ya CCM wakati WA kurudisha fomu. Wakisavaivu huo muda watajua majukumu ya ffu ni yapi kuanzia saa2 usiku WA 27 .11. 2024
Usiku wa kuamkia uchaguzi wowote, CCCM Huwa wanageuka wanyama kabisa.

Sasa itafutwe njia ingine ya kukabiliana na Hali hii Si kuandamana Kisha unarudi nyumbani.
 
CHADEMA, CUF, ACT na vingine sio vyama vya Upinzani hasa hapa nchini. Hatuna Upinzani thabiti Tanzania....Mtoe Tundu Lissu tu na zamani Christopher Mtikila

Hakuna chama kinaweza kususa kwa 100% kwasababu bado kinataka Ruzuku

Lasivyo kuanzia 2020 wasingethubutu TENA kushiriki mpaka leo
Si vyema kutumia njia na KANUNI na Sheria mbovu zile zile Kisha utegemee matokeo tofauti.

Wananchi wameshajua nani Hasa mwenye shida,

Kususa uchaguzi ni uamuzi Bora ka sasa.
 
  1. Hakuna tume huru ya uchaguzi
  2. Hakuna katiba mpya
  3. Zoezi la uandikishwaji daftari la wakaazi limeshaingia dosari.
📌CHADEMA siyo chama cha upinzani ni kiinimacho tu.
CHADEMA ni chama Cha upinzani ila waondoe mamluki wote wasaliti.
 
Wakishiriki baadae wasije na habari za kuibiwa.

Hivi kwa ushenzi huo na video zinazosambaa mitandaoni zenye dosari katika uandikishaji mtu unaweza vipi kusema kuna uchaguzi?
 
Mambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,

Kushiriki uchaguzi ambao unajua ni batili Kisha ukadai umeibiwa kura ni kuwafanya wananchi kama hawafikuri Sawa sawa!
JK NYERERE alisema; mtu akikupa ushauri wa kijinga, na anajua ni wakijinga ila ukauchukua, ANAKUDHARAU.
 
Back
Top Bottom