Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wananchi tumeonyesha kuwa hatuko tayari tena kushiriki chaguzi za kuhuni bila mabadiliko ya kweli. Na sio uchaguzi huu tu, hata uchaguzi mkuu ujao wananchi hatutajihusisha na hizi chaguzi za kihuni tena.Wapinzani hawako serious, msimamo ulitakiwa kuwa No reforms no elections. Unaingia kwenye uchaguzi unaona kabisa serikali haina nia ya kutenda haki
Kwa taarifa yako hiki kitendo cha sisi wananchi kususia uchaguzi huu kimetuma ujumbe wa uhakika kwa ccm na serekali kuwa wananchi hawaridhishwi na mwenendo uliopo. Ni kweli ccm itatangazwa washindi kisheria lakini wakiwa hawana uhalali wa umma.Toka chadema waanze kususia chaguzi mbalimbali nini kimebadilika.. Kususa kumewasaidia nini zaidi ya kuwapa COM ushindiwa asilimia mia.. Njooni na mpango mwingine.. Huu mpango wa kususia chaguzi umefeli na hauna msaada wowote katika mapambano ya kidemokrasia..
Gentleman,Salaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Huo utakuwa ni uchaguzi wa ccm.Gentleman,
Chadema ijitoe au isijitoe, uchaguzi wa Serikali za mitaa upo pale pale utafanyika bila mbambamba yoyote Nov 27 2024 🐒
vyovyote itakavyokua ilimradi katiba na sheria za nchi zizingatiwe na vyama vingine zaidi ya 20 waachwe washiriki uchaguzi huo kwa uhuru..Huo utakuwa ni uchaguzi wa ccm.
Acheni kushauriana ujinga.. Himizeni wanachama na wapenzi wa vyama vyenu wajitokeze kupiga kura.. Acheni ubishi wa kijinga..Kwa taarifa yako hiki kitendo cha sisi wananchi kususia uchaguzi huu kimetuma ujumbe wa uhakika kwa ccm na serekali kuwa wananchi hawaridhishwi na mwenendo uliopo. Ni kweli ccm itatangazwa washindi kisheria lakini wakiwa hawana uhalali wa umma.
Hakuna kiongozi atakayekuwa na ushirikiano wa wananchi kwani watakuwa kwenye vyeo wakiwa hawana ridhaa ya wananchi. Na huu ususiaji sio wa uchaguzii huu tu, na hautaishia kwenye uchaguzi huu tu, bali ni hadi uchaguzi mkuu ujao. Wananchi tumechoka kuongozwa kwa shuruti na ccm, huku wakitutungia sheria za kutukandamiza, na kujigeuza miungu watu.
Uchaguzi wa 'bora liende'.ilimradi
unadhani kuna mtu atakaebabaika na makasiriko na mihemko yako na ya wengine kuhusu uchaguzi huu muhimu wa kihistoria gentleman?🤣Uchaguzi wa 'bora liende'.
Ccm mnaua kabisa demokrasia ya taifa hili kwa tamaa zenu za madaraka.
Uzuri wenye nchi yao (bila kujali itikadi za vyama)wameshaanza kuliona hili....kutapambazuka mpende msipende.
Ni suala la muda tu.
Nisikilize, hatuna muda wa kuhamasisha yoyote akashiriki uchaguzi kiini macho wakati mna matokeo mfukoni. Kama mlitegemea tutaendelea kujitokeza kwenye mistari ya kura kama mabwege basi mmeukalia. Kuliko muhangaike kuiba kura, kuacha wapinzani na vilema hadi vifo, basi goli liko wazi shindeni kihalali. Hatushiriki upuuzi fullstop.Acheni kushauriana ujinga.. Himizeni wanachama na wapenzi wa vyama vyenu wajitokeze kupiga kura.. Acheni ubishi wa kijinga..
Wewe ni adui wa demokrasia.. Unaaminisha watu vitu tofauti ambavyo ni mtazamo wako.. Leo hii nimeshuhudia gari la Chadema lenye bendera likipita mitaani huku wakitoa tangazo watu wakajiandikishe.. Sasa haya unayoyasema sijui yanatoka wapi.. Hebu nenda kajiandikishe upige kura..Nisikilize, hatuna muda wa kuhamasisha yoyote akashiriki uchaguzi kiini macho wakati mna matokeo mfukoni. Kama mlitegemea tutaendelea kujitokeza kwenye mistari ya kura kama mabwege basi mmeukalia. Kuliko muhangaike kuiba kura, kuacha wapinzani na vilema hadi vifo, basi goli liko wazi shindeni kihalali. Hatushiriki upuuzi full
Nasema hivi, watu wajinga tu ama wanaofaidika na chaguzi hizi za kishenzi, ndio wataendelea kujitokeza kwenye chaguzi ambazo ccm ndio wanapanga nani atangazwe mshindi.Wewe ni adui wa demokrasia.. Unaaminisha watu vitu tofauti ambavyo ni mtazamo wako.. Leo hii nimeshuhudia gari la Chadema lenye bendera likipita mitaani huku wakitoa tangazo watu wakajiandikishe.. Sasa haya unayoyasema sijui yanatoka wapi.. Hebu nenda kajiandikishe upige kura..
Na kwa maana hiyo hiyo uliyo ilenga wewe mkuu 'Rabbon'; nami niungane nawe kuwashauri CHADEMA kungali mapema kutoshiriki kwenye uchaguzi mkuu unao fuata.Salaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Sasa kumbe Wana mbinu elfu kama alivyodai Nape,Na kwa maana hiyo hiyo uliyo ilenga wewe mkuu 'Rabbon'; nami niungane nawe kuwashauri CHADEMA kungali mapema kutoshiriki kwenye uchaguzi mkuu unao fuata.
Mada yako hii nimekuwa nikiikwepa kuifungua na kuisoma, kwa sababu maoni yangu ni kinyume kabisa na ushauri unao wapa CHADEMA.
Lakini baada ya kuona hali halisi ilivyo, na jinsi wasivyo kuwa na mikakati yoyote mbadala ya kuwafikishia wananchi ili washirikiane kuitekeleza kwa pamoja; nami sasa sioni maana yoyote ya ushiriki wao (CHADEMA) katika zoezi za chaguzi hizi ambazo CCM ndio wamezishikilia na kufanya kila wanachoweza kufanya bila ya kuhojiwa na yeyote.
Iliyo baki kwa Tanzania sasa ni kusubiri tu kudra za Mwenyzi Mungu kulinusuru taifa letu na balaa hili la CCM.