Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Kweli kabisaWachache wanalijua Hilo hasa chair man
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaWachache wanalijua Hilo hasa chair man
tena haraka sanaSalaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
NDIYO MAANA LISSU KAWAKIMBIA MUENDELEE NA UCHAGUZI PEKEYENUSalaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
KAMA LISSUCHADEMA ni chama Cha upinzani ila waondoe mamluki wote wasaliti.
Subiri makamanda uchwara wamwage mapovu kazi yetu sisi kufua📌CHADEMA siyo chama cha upinzani ni kiinimacho tu.
- Hakuna tume huru ya uchaguzi
- Hakuna katiba mpya
- Zoezi la uandikishwaji daftari la wakaazi limeshaingia dosari.
Salaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Kujitoa itaendelea kuonyesha uwezo wake mdogo wa kupewa nchiSalaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Kitendo cha CHADEMA kukubali kushiriki huu uchaguzi tata kimenishangaza sana.Mambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,
Kushiriki uchaguzi ambao unajua ni batili Kisha ukadai umeibiwa kura ni kuwafanya wananchi kama hawafikuri Sawa sawa!
Yaweza kuwa chai waliyokunywa jumba lile wakati wa maridhiano iliwabakizia Imani Fulani kuwa labda huyu anaeupiga mwingi sio yule mtata!Kitendo cha CHADEMA kukubali kushiriki huu uchaguzi tata kimenishangaza sana.
Katu sitajiandikisha..!
Hivi Lema ,Mrema na Mzee mbowe unategemea bila kuhalalisha uwepo wa chadema kwa kushiriki hizi chaguzi wataishije?Mambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,
Kushiriki uchaguzi ambao unajua ni batili Kisha ukadai umeibiwa kura ni kuwafanya wananchi kama hawafikuri Sawa sawa!
Niambie kama wazo lako ni jema ni Nini kunazuia mchakato Kwa Sasa!?Ushauri huu niliutoa mapema hata kabla ya zoezi la uandikishaji kuanza. Chadema na vyama vyote vya upinzani vinapaswa kususia uchaguzi huu na ujao ili tutengeneze katiba mpya kwanza itakayoweka misingi imara ya utawala unaoakisi mamlaka ya wananchi kama mwajiri wa watawala.
Wanasiasa wote wa upinzani na chama tawala, wana tamaa ya kuendelea kuchagua viongozi kwa mfumo uliopo kwa kuwa kuna manufaa na masilahi zaidi kwao kuliko kusimamia ustawi jumuishi wa jamii ya kitanzania.....Ruzuku!
Kwa hali ilivyo sasa hata kama upinzani wakishinda uchaguzi bado wataendelea kuendesha nchi kwa mfumo uliopo ambao ni mbovu unao nufaisha viongozi taasisi na vitengo.
Kinachotakiwa kufanyika sasa ni uandishi wa katiba mpya utakao zingatia uwepo wa nchi ya Tanganyika, mdau mkubwa wa Zanzibar katika muungano wa Jamuhuri ya Tanzania. Uwepo wa tume huru ya uchaguzi iliyohuru kusimamia uchaguzi bila kuwa na mashinikizo kutoka mamalaka za juu yake.
Kama tutatimiza masharti hayo hapo juu, ni wazi uandikishaji na upigaji kura utakuwa na washiriki wengi maana matakwa ya wananchi yatalindwa na katiba wakati viongozi nao wakidhibitiwa na masharti mapya na magumu tuliyo jiwekea kwenye katiba mpya.
Tutumie muda huu kuandika katiba mpya badala ya kufanya uchaguzi na tujiwekee malengo kuwa uchaguzi mkuu ufanyike 2030 baada ya kukamilisha mambo yote ya kisiasa. Wakati huu wa kipindi cha mpito, CCM na Rais wa sasa waendelee kukaa madarakani kwa masharti kukamilisha mchakato wa katiba mpya, kufanya kura ya maamuzi juu ya muundo wa muungano na hapa msisitizo ukiwa kuwepo kwa nchi, Serikali, Bunge. Rais wa Tanganyika makao yake yawe Dodoma.
Kulazimisha kufanya uchaguzi ili kulinda maslahi binafsi au taasisi zinazo neemeka na mfumo uliopo ambao ni kandamizi haitasaidia. Binafsi sitarajii kuinua mguu wangu kwenda kujiandiksha wala kupiga kura mwaka huu na ujao mpaka mambo niliyoyataja hapo juu yakamilishwe. Nafarijika sana kuona kuwa wengi wanaona na kuelewa kinachoendelea, wachache wenye maslahi ndio watakwenda kujiandikisha na kupiga kura.