Mambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,Mwaka 2019 CHADEMA ilisema hivi hivi.
CHADEMA siyo chama cha upinzani, ni kiinimacho cha CCM kuturidhisha tuone Kuna demokrasia.
Ndiyo maana nimesema CHADEMA siyo chama cha upinzani bali ni tawi la CCM kutuzugaMambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,
Kushiriki uchaguzi ambao unajua ni batili Kisha ukadai umeibiwa kura ni kuwafanya wananchi kama hawafikuri Sawa sawa!
Mimi binafsi na utashi wangu sitajiandikisha katika ubatili huu.Ndiyo maana nimesema CHADEMA siyo chama cha upinzani bali ni tawi la CCM kutuzuga
Mimi binafsi na utashi wangu sitajiandikisha katika ubatili huu.
Tundu Lisu ni mpinzani wa kweli ndiyo maana anapitia vita vikali zaidiNaamini kutoshiriki uchaguzi huu wa mitaa lilikuwa wazo la Lissu, Sema akazidiwa HOJA na wingi wa wenzie ndio maana akaukacha kiaina.
CHADEMA, CUF, ACT na vingine sio vyama vya Upinzani hasa hapa nchini. Hatuna Upinzani thabiti Tanzania....Mtoe Tundu Lissu tu na zamani Christopher MtikilaSalaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni balili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Hao wenzie ndio wanaofaidi RuzukuNaamini kutoshiriki uchaguzi huu wa mitaa lilikuwa wazo la Lissu, Sema akazidiwa HOJA na wingi wa wenzie ndio maana akaukacha kiaina.
Naingia mkono hoja, CHADEMA msishupaze shingoSalaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa uchaguzi,
Nichukue nafasi hii kuwasihi kujitoa mapema Ili kuepusha watu wasio na hatia kuumizwa.
NB: Kushiriki uchaguzi ambao mnajua ni batili Kisha kudai kuwa mmeibiwa kura, hiyo ni kuwafanya wananchi kama hawafikiri Sawa sawa!!
Nawasilisha.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Usiku wa kuamkia uchaguzi wowote, CCCM Huwa wanageuka wanyama kabisa.Wataiona rangi ya CCM wakati WA kurudisha fomu. Wakisavaivu huo muda watajua majukumu ya ffu ni yapi kuanzia saa2 usiku WA 27 .11. 2024
Si vyema kutumia njia na KANUNI na Sheria mbovu zile zile Kisha utegemee matokeo tofauti.CHADEMA, CUF, ACT na vingine sio vyama vya Upinzani hasa hapa nchini. Hatuna Upinzani thabiti Tanzania....Mtoe Tundu Lissu tu na zamani Christopher Mtikila
Hakuna chama kinaweza kususa kwa 100% kwasababu bado kinataka Ruzuku
Lasivyo kuanzia 2020 wasingethubutu TENA kushiriki mpaka leo
CHADEMA ni chama Cha upinzani ila waondoe mamluki wote wasaliti.📌CHADEMA siyo chama cha upinzani ni kiinimacho tu.
- Hakuna tume huru ya uchaguzi
- Hakuna katiba mpya
- Zoezi la uandikishwaji daftari la wakaazi limeshaingia dosari.
JK NYERERE alisema; mtu akikupa ushauri wa kijinga, na anajua ni wakijinga ila ukauchukua, ANAKUDHARAU.Mambo Yale Yale ya 2020 yanarudiwa tena,
Kushiriki uchaguzi ambao unajua ni batili Kisha ukadai umeibiwa kura ni kuwafanya wananchi kama hawafikuri Sawa sawa!
Wachache wanalijua Hilo hasa chair manMwaka 2019 CHADEMA ilisema hivi hivi.
CHADEMA siyo chama cha upinzani, ni kiinimacho cha CCM kuturidhisha tuone Kuna demokrasia.