Uchaguzi 2020 Ushauri - CHADEMA iongezee Timu ya kampeni na Lissu aende Majimboni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana.

Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k. wafanya kampeni.

Chadema hapa wamekosa nguvu fulani. Kampeni na mikutano yote inahodhiwa na Lissu tu. Bila Lissu hakuna watu. Katika Jimbo la Bunda nimeona mwamko zaidi kwa wanachama na wapiga kura wao. Mbeya na Arusha nadhani pameamka.

Nashauri timu ya kitaifa iongezeke. Itawanyike nchi nzima na tuone nguvu ya chama na si mtu.
 
Watanzania wana jambo lao mioyoni mwao.

Mlichowafanyia Watanzania miaka mitano hii mnakijuwa wenyewe ni lazima mtawanyike kujinusuru.

Ila nakuhakikishia hamtoamini kile kinachokwenda kutokea, watu wamekaa kimya wanawachora tu.
 
Chadema wako very strategic na hii kampeni......

Tuwaachie maana kila kitu kinaenda sawa...
 
Huwa yanapita hapa ofisin kwangu jioni wakati yanarudi kama ulivyosema hamna mwenye shobo nayo
 
Chadema wako very strategic na hii kampeni......

Tuwaachie maana kila kitu kinaenda sawa...
Umenikumbusha zamani nikiwa Primary school, nilikua nachukua kitabu cha Hisabati na kukisimamisha Kwa V-shape kwenye Dinning Table ambayo niliitumia kama Dawati la kufanyia revision nyumbani ili wazaz wangu ambao walipenda Sana kukaa kwenye makochi Karibu na Dinning Table, wanione Niko busy najifunza Hisabati, ukweli ni kwamba nilikua nachora tuu katuni na kitabu ilikua Decoy tuu... matokeo yangu ya Hisabati hayakuwahi kuwa mazuri na mtihani wa mwisho nilipata alama chache Sana..so sometimes MTU/watu wanaweza kukuhaminisha kwamba wako on top of the situation kumbe si kweli na wako Hoi na wakikili itawashushia hadhi au kuwatolea Relevance ktk jambo au jamii.
 
Hao akina kinana,ndugai,kikwete wote ni makapi hamna hata moja mwenye akili anaweza wasikiliza.

Emu niambie kuna graduate,mwajiriwa,form 6 na form 4 na mfanyabiashara gani anaweza wasikiliza hao.
 
Usijiaminishe katika kufeli. Chadema wanahitaji kusuka safu yake ya kampeni. Bila hivyo utasikia kilio mwishoni na majibu yake yatakuwa kama tunavyoleta ushauri hapa.

Baado kuna haja ya Chadema kuangalia namna bora ya kufanya Kampeni na kuunda timu ya maana ya kitaifa. Lissu hata angekuwa mzuri sana, huwa anaongea sana. Matokeo yake hatafika mwisho pekee yake akiongea hivyo. Atachoka.

Kumbuka Lowassa alivyofanya kampeni zake. Alikuwa si mwongeaji sana. Lakini alikuwa na nguvu ya timu ya Kampeni ya watu waliokuwa wanajua siasa. Sumaye, Duni, Mahanga, Marando, Prof. Safari, n.k.
Hao akina kinana,ndugai,kikwete wote ni makapi hamna hata moja mwenye akili anaweza wasikiliza.

Emu niambie kuna graduate,mwajiriwa,form 6 na form 4 na mfanyabiashara gani anaweza wasikiliza hao.
 
Chadema wanahali mbaya sana.washaona alama zote za kushindwa uchaguzi wa October 2020.
 
Umenikumbusha zamani nikiwa Primary school, nilikua nachukua kitabu cha Hisabati na kukisimamisha Kwa V-shape kwenye Dinning Table ambayo niliitumia kama Dawati la kufanyia revision nyumbani ili wazaz wangu ambao walipenda Sana kukaa kwenye makochi Karibu na Dinning Table, wanione Niko busy najifunza Hisabati, ukweli ni kwamba nilikua nachora tuu katuni na kitabu ilikua Decoy tuu... matokeo yangu ya Hisabati hayakuwahi kuwa mazuri na mtihani wa mwisho nilipata alama chache Sana..so sometimes MTU/watu wanaweza kukuhaminisha kwamba wako on top of the situation kumbe si kweli na wako Hoi na wakikili itawashushia hadhi au kuwatolea Relevance ktk jambo au jamii.
Kwàiyo wewe ni CHADEMA
 
Hao akina kinana,ndugai,kikwete wote ni makapi hamna hata moja mwenye akili anaweza wasikiliza.

Emu niambie kuna graduate,mwajiriwa,form 6 na form 4 na mfanyabiashara gani anaweza wasikiliza hao.
Huko chadema Kuna Nani ambaye siyo makapi mumtume? Tajeni mmetuma Nani zaidi ya poyoyo wenu Salum Mwalimu nae hawezi lolote kwenye ushawishi.
 
Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana.

Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k. wafanya kampeni.

Chadema hapa wamekosa nguvu fulani. Kampeni na mikutano yote inahodhiwa na Lissu tu. Bila Lissu hakuna watu. Katika Jimbo la Bunda nimeona mwamko zaidi kwa wanachama na wapiga kura wao. Mbeya na Arusha nadhani pameamka.

Nashauri timu ya kitaifa iongezeke. Itawanyike nchi nzima na tuone nguvu ya chama na si mtu.

Umeongea kweli.
Hii ccm ni yakushambuliwa kama mpira wa kona hadi wagongane wenyewe kwa wenyewe.
13.jpg
 
Back
Top Bottom