Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Watanzania wana jambo lao mioyoni mwao.Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana.
Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k. wafanya kampeni.
Chadema hapa wamekosa nguvu fulani. Kampeni na mikutano yote inahodhiwa na Lissu tu. Bila Lissu hakuna watu. Katika Jimbo la Bunda nimeona mwamko zaidi kwa wanachama na wapiga kura wao. Mbeya na Arusha nadhani pameamka.
Nashauri timu ya kitaifa iongezeke. Itawanyike nchi nzima na tuone nguvu ya chama na si mtu.
Kumbe ni kweli mlimsumbuwa mama Maria Nyerere kuongeza vichwa?Too late...halafu hamna vichwa vinavyoeeza kusimama vyenyewe kwenye kampeni
Huwa yanapita hapa ofisin kwangu jioni wakati yanarudi kama ulivyosema hamna mwenye shobo nayoWatanzania wana jambo lao mioyoni mwao.
Mlichowafanyia Watanzania miaka mitano hii mnakijuwa wenyewe ni lazima mtawanyike kujinusuru.
Ila nakuhakikishia hamtoamini kile kinachokwenda kutokea, watu wamekaa kimya wanawachora tu.
Umenikumbusha zamani nikiwa Primary school, nilikua nachukua kitabu cha Hisabati na kukisimamisha Kwa V-shape kwenye Dinning Table ambayo niliitumia kama Dawati la kufanyia revision nyumbani ili wazaz wangu ambao walipenda Sana kukaa kwenye makochi Karibu na Dinning Table, wanione Niko busy najifunza Hisabati, ukweli ni kwamba nilikua nachora tuu katuni na kitabu ilikua Decoy tuu... matokeo yangu ya Hisabati hayakuwahi kuwa mazuri na mtihani wa mwisho nilipata alama chache Sana..so sometimes MTU/watu wanaweza kukuhaminisha kwamba wako on top of the situation kumbe si kweli na wako Hoi na wakikili itawashushia hadhi au kuwatolea Relevance ktk jambo au jamii.Chadema wako very strategic na hii kampeni......
Tuwaachie maana kila kitu kinaenda sawa...
Hao akina kinana,ndugai,kikwete wote ni makapi hamna hata moja mwenye akili anaweza wasikiliza.
Emu niambie kuna graduate,mwajiriwa,form 6 na form 4 na mfanyabiashara gani anaweza wasikiliza hao.
Kwahiyo hutaki hata kushauriwa?Chadema wako very strategic na hii kampeni......
Tuwaachie maana kila kitu kinaenda sawa...
Anajiona mjuaji huyo, mwache kama alivyo.Kwahiyo hutaki hata kushauriwa?
UtaKuwa kipofu au mimi ndiye nina shida ya machoChadema wako very strategic na hii kampeni......
Tuwaachie maana kila kitu kinaenda sawa...
Kwàiyo wewe ni CHADEMAUmenikumbusha zamani nikiwa Primary school, nilikua nachukua kitabu cha Hisabati na kukisimamisha Kwa V-shape kwenye Dinning Table ambayo niliitumia kama Dawati la kufanyia revision nyumbani ili wazaz wangu ambao walipenda Sana kukaa kwenye makochi Karibu na Dinning Table, wanione Niko busy najifunza Hisabati, ukweli ni kwamba nilikua nachora tuu katuni na kitabu ilikua Decoy tuu... matokeo yangu ya Hisabati hayakuwahi kuwa mazuri na mtihani wa mwisho nilipata alama chache Sana..so sometimes MTU/watu wanaweza kukuhaminisha kwamba wako on top of the situation kumbe si kweli na wako Hoi na wakikili itawashushia hadhi au kuwatolea Relevance ktk jambo au jamii.
Siyo pesa tu, hata watu wenye ushawishi HAKUNA, angalia Salum Mwalimu anavyojikanyaga, HAKUNA wa kwenda kumwangalia.Chadema hawana pesa za kufanya hivyo.
Huko chadema Kuna Nani ambaye siyo makapi mumtume? Tajeni mmetuma Nani zaidi ya poyoyo wenu Salum Mwalimu nae hawezi lolote kwenye ushawishi.Hao akina kinana,ndugai,kikwete wote ni makapi hamna hata moja mwenye akili anaweza wasikiliza.
Emu niambie kuna graduate,mwajiriwa,form 6 na form 4 na mfanyabiashara gani anaweza wasikiliza hao.
Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana.