USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji..

Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja sana kutoka Chadema naweza nikasema Ni 60% Ila cha ajabu kwenye Mikutano ya Chadema wanaopewa Nafasi kuongea huwa ni hao 40% ambao hawana hoja na hawajui kujibu hoja..

Jana na Juzi Nimepata Bahati ya Kumsikiliza Kada mmoja wa Chadema Kutoka Kagera hakika Mheshimiwa Mbowe amepata Vijana..

Namuweka kwenye Kundi la Kina MMM na Boniyai ila yeye Sio Mtu wa siasa za uandishi yeye yupp kwenye siasa za kuongea..

Jinsi anavyojenga hoja na kuchambua na kupiga Propaganda anafaa sana kwa Kazi ya Katibu muenezi wa Chama..
Naona chadema isipoteza hii Hazina ya Dhahabu itajutia..

Moja ya Video yake akitetea Hoja ya Udini Nimeweka hapa chini
 
Kwanza Chadema haina cheo cha katibu Mwenezi, halafu kama ni hoja za udini huyo anafaa kwenye mihadhara ya kina Mazinge.
 
Kwanza Chadema haina cheo cha katibu Mwenezi, halafu kama ni hoja za udini huyo anafaa kwenye mihadhara ya kina Mazinge.
Una uhakika?
Kwamba hakuna Katibu mwenezi wa CHADEMA?
Unaijua katiba ya CHADEMA?

Ni kweli jamaa ni Mtu wa Mihadhara ila Anajibu Vizuri pia Bila kuweka kashfa na matusi nimependa jinsi anavyojibu bila kutukana Mtu au Kumshushia Heshima mtu yeyote.
 
Nitajie katibu Mwenezi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom