Ushauri: CHADEMA, Mrudisheni Dkt. Slaa chamani kuongeza morali ya ushindi

Salaam, Shalom!!

Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama.

ZIFUATAZO, ni sababu kwanini CHADEMA inamuhitaji zaidi Dr Slaa.

1. KUFAIL KWA MARIDHIANO.

Jambo hili Bado Lina maswali mengi ndani na nje ya chama, muda uliopotea kukaa mezani na mahasimu CCM Bado unaleta maswali yasojibika, tukijiuliza, chama kimeachieve nini katika maridhiano Yale, hakuna majibu ya Moja Kwa moja zaidi ya lawama,hivyo kupunguza maswali haya, Leteni ingizo jipya ambalo ni Dr Slaa turudi katika siasa za kiuanaharakati.

2. MIKAKATI THABITI KUELEKEA UCHAGUZI.

Najua mnapanga kushiriki uchaguzi, Dr Slaa Bado ni chaguo zuri. Ubora wake katika mipango thabiti unajulikana.

3. KULETA HAMASA KWA WANANCHI WASIOPENDA UFISADI NA RUSHWA.

Dr Slaa aliondoka akipishana na Lowwassa, na imethibitika kuwa Lowwassa ni Liability Kwa chama, maana amerudia nyumbani kwao, hivyo Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka. majuzi KM ndugu Mnyika amenukuliwa akisema kuwa, pia hakufurahia ujio wa Lowassa chamani, na ndio chanzo Cha ukimya wake wakati Ule, hivyo kurejea kwake Dr Slaa, kutaamsha tumaini jipya.

4. ANAAMINIKA KWA MAKUNDI YOTE.

Dr Slaa ni mtu mwenye misimamo isoyumba, hivyo ujio wake utaleta taswira mpya kuelekea harakati za kupata Tume huru kabla ya Uchaguzi wowote. Vijana watajitokeza tena Kwa wingi mikutanoni sababu aliaminika sana enzi zake.

Kundi kubwa lililohama CHADEMA na lingine kususia siasa baada ya Lowassa mwenye kashfa za ufisadi alipopewa nafasi, litarejea na Dr Slaa ikiwa atarudishwa tena chamani Kwa nafasi ya Katibu MKUU.

5. UANDAAJI WA SERA ZA CHAMA NA ILANI YA UCHAGUZI KWA MIAKA MITANO IJAYO 2020-2025.

Mchango wa Dr Slaa, hata hauhitaji Utafiti, maana alisaidia sana CHADEMA kuwa chama chenye sera thabiti ambazo nyingi ziliibwa na kutumiwa na chama tawala wakati huo 2015.

ANGALIZO: Chama chakavu Hadi sasa hakina KM, So Ingizo la Dr Slaa Kwa wakati huu, lazima utaleta mtikisiko Kwa chama tawala.

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni. 🙏
Kama saccos Yao Ile na kina Mdude na wale wengine wenye njaa Wameshindwa kupata kiki kwenye dp World ndio itakuwa huko kwa walamba asali?
 
Naunga mkono hoja yako ndugu
 
Msimamo Gani unao uzungumzia wewe wakati aliunga juhudi kipindi Cha jiwe

Uzuri hakufukuzwa na mtu anaona aibu kurudi

Wenye CCM wamerudi rasmi Sasa hawamtaki na CDM hawamtaki mwanasiasa mwenye tabia za kimalaya malaya
Dkt Slaa hastahili matusi wala kejeli,famba la 2015 liligeuza siasa za Tz kua majanga na kimsingi msimamo wa dkt Slaa ulikua sahihi,Lowassa leo yuko wapi!?.Wengi tuliumizwa na ingizo la Lowassa na wengine tulimpigia kura kwa kuichoka CCM.
 
Dr,Slaa arudishwe haraka tuanze mchakamchaka, wakiwa na Mnyika pale, Heche,Lissu ,Wenje na makamanda wengine kama Lema,Sugu Msigwa siasa itashika kasi. Naunga mkono hoja.
 
Salaam, Shalom!!

Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama.

ZIFUATAZO, ni sababu kwanini CHADEMA inamuhitaji zaidi Dr Slaa.

1. KUFAIL KWA MARIDHIANO.

Jambo hili Bado Lina maswali mengi ndani na nje ya chama, muda uliopotea kukaa mezani na mahasimu CCM Bado unaleta maswali yasojibika, tukijiuliza, chama kimeachieve nini katika maridhiano Yale, hakuna majibu ya Moja Kwa moja zaidi ya lawama,hivyo kupunguza maswali haya, Leteni ingizo jipya ambalo ni Dr Slaa turudi katika siasa za kiuanaharakati.

2. MIKAKATI THABITI KUELEKEA UCHAGUZI.

Najua mnapanga kushiriki uchaguzi, Dr Slaa Bado ni chaguo zuri. Ubora wake katika mipango thabiti unajulikana.

3. KULETA HAMASA KWA WANANCHI WASIOPENDA UFISADI NA RUSHWA.

Dr Slaa aliondoka akipishana na Lowwassa, na imethibitika kuwa Lowwassa ni Liability Kwa chama, maana amerudia nyumbani kwao, hivyo Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka. majuzi KM ndugu Mnyika amenukuliwa akisema kuwa, pia hakufurahia ujio wa Lowassa chamani, na ndio chanzo Cha ukimya wake wakati Ule, hivyo kurejea kwake Dr Slaa, kutaamsha tumaini jipya.

4. ANAAMINIKA KWA MAKUNDI YOTE.

Dr Slaa ni mtu mwenye misimamo isoyumba, hivyo ujio wake utaleta taswira mpya kuelekea harakati za kupata Tume huru kabla ya Uchaguzi wowote. Vijana watajitokeza tena Kwa wingi mikutanoni sababu aliaminika sana enzi zake.

Kundi kubwa lililohama CHADEMA na lingine kususia siasa baada ya Lowassa mwenye kashfa za ufisadi alipopewa nafasi, litarejea na Dr Slaa ikiwa atarudishwa tena chamani Kwa nafasi ya Katibu MKUU.

5. UANDAAJI WA SERA ZA CHAMA NA ILANI YA UCHAGUZI KWA MIAKA MITANO IJAYO 2020-2025.

Mchango wa Dr Slaa, hata hauhitaji Utafiti, maana alisaidia sana CHADEMA kuwa chama chenye sera thabiti ambazo nyingi ziliibwa na kutumiwa na chama tawala wakati huo 2015.

ANGALIZO: Chama chakavu Hadi sasa hakina KM, So Ingizo la Dr Slaa Kwa wakati huu, lazima utaleta mtikisiko Kwa chama tawala.

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni. [emoji120]
Huyo mzee mimi nlimkubali sana alijitoa ndani chama kwa sababu za msingi sana baada ya Lowasa kuhamia CDM na kupewa nafasi ya kugombea urais.

Kumbuka CDM walikuwa wakimsema Lowasa kwamba ndiye fisadi papa.
 
Aende zake, alisaliti na kumuunga mkono muuaji. Hafai

Risasi na mateso wanayopitia akina Lissu na Saanane aliyabariki. Hovyo kabisaaaaa
 
Yeye aendelee kudai Katiba mpya na Kuokoa raslimali zetu zisiporwe kupitia hilo jukwaa lake. Sidhani atakuwa na jipya tena ndani ya CDM.
Style aliyoondokea CDM haikuwa ya kiongozi mkomavu wa kisiasa.
 
Salaam, Shalom!!

Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama.

ZIFUATAZO, ni sababu kwanini CHADEMA inamuhitaji zaidi Dr Slaa.

1. KUFAIL KWA MARIDHIANO.

Jambo hili Bado Lina maswali mengi ndani na nje ya chama, muda uliopotea kukaa mezani na mahasimu CCM Bado unaleta maswali yasojibika, tukijiuliza, chama kimeachieve nini katika maridhiano Yale, hakuna majibu ya Moja Kwa moja zaidi ya lawama,hivyo kupunguza maswali haya, Leteni ingizo jipya ambalo ni Dr Slaa turudi katika siasa za kiuanaharakati.

2. MIKAKATI THABITI KUELEKEA UCHAGUZI.

Najua mnapanga kushiriki uchaguzi, Dr Slaa Bado ni chaguo zuri. Ubora wake katika mipango thabiti unajulikana.

3. KULETA HAMASA KWA WANANCHI WASIOPENDA UFISADI NA RUSHWA.

Dr Slaa aliondoka akipishana na Lowwassa, na imethibitika kuwa Lowwassa ni Liability Kwa chama, maana amerudia nyumbani kwao, hivyo Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka. majuzi KM ndugu Mnyika amenukuliwa akisema kuwa, pia hakufurahia ujio wa Lowassa chamani, na ndio chanzo Cha ukimya wake wakati Ule, hivyo kurejea kwake Dr Slaa, kutaamsha tumaini jipya.

4. ANAAMINIKA KWA MAKUNDI YOTE.

Dr Slaa ni mtu mwenye misimamo isoyumba, hivyo ujio wake utaleta taswira mpya kuelekea harakati za kupata Tume huru kabla ya Uchaguzi wowote. Vijana watajitokeza tena Kwa wingi mikutanoni sababu aliaminika sana enzi zake.

Kundi kubwa lililohama CHADEMA na lingine kususia siasa baada ya Lowassa mwenye kashfa za ufisadi alipopewa nafasi, litarejea na Dr Slaa ikiwa atarudishwa tena chamani Kwa nafasi ya Katibu MKUU.

5. UANDAAJI WA SERA ZA CHAMA NA ILANI YA UCHAGUZI KWA MIAKA MITANO IJAYO 2020-2025.

Mchango wa Dr Slaa, hata hauhitaji Utafiti, maana alisaidia sana CHADEMA kuwa chama chenye sera thabiti ambazo nyingi ziliibwa na kutumiwa na chama tawala wakati huo 2015.

ANGALIZO: Chama chakavu Hadi sasa hakina KM, So Ingizo la Dr Slaa Kwa wakati huu, lazima utaleta mtikisiko Kwa chama tawala.

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni. 🙏
Hata Dume la Mbuzi likizeeka zizini huwa tunalitoa bahna 😂 😂 😂 😂
 
Ushahidi si ndiyo hutoa uthibitisho? Kumbe hisia zako zinathibitishwa je ndugu?
Sina uhakika hata kama unafahamu ulichokiquote. Labda nikukumbushe. Nilianza kwa kusema hivi "Sidhani wewe kama ni CHADEMA". Hisia zangu zilikuwa zinaelezea "dhana" yangu

Anayetakiwa kuja kukinzana na dhana yangu, ni muhusika mwenyewe. Ulichokifanya wewe, ni kama vile umeichukua dhana yangu, na kuifanya iwe ni halisia, kisha unaanza kuipinga 🤷🤷
 
Back
Top Bottom