- Thread starter
- #61
Wananchi tuna akili timamu,Alikuwa anatoa mrejesho kwa wananchi juu ya walichokubaliana.
Pengine hayo aliyoyasema ndio ambayo walikubaliana kwenye vikao vyao. Kutotekelezwa kwake, pengine watawala wameamua kuyakiuka. Nadhani hapo kinachotakiwa ni yeye kuulizwa, mbona hatuoni utekelezaji?. Kisha ndio tujue shida ipo kwake aliyetupa mrejesho au kwao aliokubaliana nao?
Tulitilia shaka maridhiano Yale tangu mwanzo bt mkt akayaendeleza.
So turudi katika siasa za kiuanaharakati mabarabarani na Viwanjani,
Huko ndiko tutapata Katiba mpya ya Kweli na Tume huru ya Uchaguzi.
Na mtu sahihi ni De Slaa!!