Dr Slaa ni mzalendo,Hana msimamo wala, hilo la Lowassa unamuona kama ana msimamo lakini nyuma ya pazia alishiriki kumleta sema kuna vigezo kadhaa Lowassa alishindwana Slaa akajitoa
Kama unafuatilia siasa vizuri na unamfuatilia Slaa vizuri, hana msimamo kama unavyosema
Mfano mdogo tu ni suala la katiba mpya ambapo alisema halina umuhimu wowote labda kwa wanasiasa wanaotafuta vyeo, kingine ni kuhusu mikutano ya hadhara, na kuhusu kesi za kisiasa za kubambikiza
Ni mtu anayefukuzia maslahi binafsi.... Serikali ya Samia ikimpa cheo unafikiri hatakua anasifia kila kitu kama alvyokuwa akisifia kipindi cha Magufuli? UnajidanganyaDr Slaa ni mzalendo,
Na jambo Hilo Si la kutiliwa shaka hata kidogo.
Kumkatalia Magufuli kuingia CCM Unadhani ni jambo dogo?Ni mtu anayefukuzia maslahi binafsi.... Serikali ya Samia ikimpa cheo unafikiri hatakua anasifia kila kitu kama alvyokuwa akisifia kipindi cha Magufuli? Unajidanganya
Ok mkuuUsinivunjie Heshima Rabbon kuwa chama kimoja na mnafiki na mdini Zittow.
Kujiunga CCM haikuwa na ulazima kwani hata akina Anna Mghwira waliteuliwa na JPM bila shurti ya kuwa CCM,Kumkatalia Magufuli kuingia CCM Unadhani ni jambo dogo?
Kwamba ukiniteua nibaki katika utumishi wa umma bila kuwa CCM ni jambo dogo Hilo?
Kumsema hadharani sa100 na Serikali yake Unadhani ni sawa ikiwa anatamani Cheo Kutoka kwake? Si angekaa kimya au kuanza kumsifia?
Kukubali kufungwa na kupewa kesi ya uhaini akitetea bandari na raslimali zetu, Uzalendo huo unauongeleaje?
Ndo nasema ni vizuri akarejeshwa CDM,Kujiunga CCM haikuwa na ulazima kwani hata akina Anna Mghwira waliteuliwa na JPM bila shurti ya kuwa CCM,
Na Slaa alikuwa ameshaanza kujipendekeza kwa Samia ila Samia akampotezea ndio akafura kwa hasira eti anaminga
Kipindi kile Samia amemuweka Mbowe ndani kwa kesi ya ugaidi na Samia akawa anpewa presha amuachie, Slaa ndio alikuwa mtetezi wa Samia kwa kusema kuwa watu waache kumpigia kelele waachie vyombo vya dola vifanye kazi, Pia kipindi hicho alikuwa anapingana sana na suala la Katiba Mpya, akijipendekeza kwa Serikali ya Samia
And who are you to demand action in CHADEMA? Wewe unayeidharau na kuitolea kauli ya mipasho ya kanga: “kiko wapi?”Ndomana tunawasgauri wabadili uelekeo kurudi katika siasa za kiuanaharakati, na kiuzalendo.
Wasiposikia na kuendelea na urafiki na Mafisadi, move ifuatayo ni kushauri mkt akae pembeni!!
Wakati Slaa akifanya hayo space,Nilikuwa namsikiza kwenye Space ya Dada Maria alikuwa aki spit facts tupu Slaa anamfanya Samia asipate usingizi hahaha...hatari fire 🫡
Magu mzalendo ndiye turufu ya wagombea katika ngazi zote uchaguzi ujao 2025.And who are you to demand action in CHADEMA? Wewe unayeidharau na kuitolea kauli ya mipasho ya kanga: “kiko wapi?”
Halafu bado unatamani Dr Slaa arejee CHADEMA; mtu aliyeondoka kwa ridhaa yake na kauli mbovu dhidi ya chama na masahibu yote yaliyowapata awamu ya 5?
Inaelekea wafuasi wa JPM mmeshindwa kabisa kujiorganise into a notable political force. Umoja Party iliishia wapi? Ni wazi pia kuwa CHADEMA haiwezi kuwasaidia. Haiwezi kutukuza maovu ya JPM. Hivyo msipoteze muda, muombeni Dr Slaa aongoze amsha amsha ya umma mshiriki naye kikamilifu. That’s the best advice you can get.
Cha kufanya Slaa ni kuunda chama kipya cha siasa akishirikiana na wale wafuasi wa Magufuli kindakindaki, hata kama akifeli, ataonekana kweli kuna kitu anachokiamini na kukiiganiaNdo nasema ni vizuri akarejeshwa CDM,
Askari mwenye mafunzo na mjuzi wa kutumia silaha, akiachwa mtaani bila majukumu, nini Huwa kinatokea?
Mapungufu Kwa mwanadamu ni LAZIMA, ktk issue ya Bandari na harakati zake za sasa, bado atakuwa msaada Kwa CDM akirejeshwa, ataondoa baridi la Mnyika kurudi kuwa moto.
Huyu Mama kalaghai ndio maana tunamshangaa mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi amejivua nguo Dunia nzima imemshangaa.CHADEMA kumepoaaa, na ubunge wa nusu mkate haupo tena,
Ushauri mzuri lakini je anaaminika tena ??!Salaam, Shalom!!
Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama.
ZIFUATAZO, ni sababu kwanini CHADEMA inamuhitaji zaidi Dr Slaa.
1. KUFAIL KWA MARIDHIANO.
Jambo hili Bado Lina maswali mengi ndani na nje ya chama, muda uliopotea kukaa mezani na mahasimu CCM Bado unaleta maswali yasojibika, tukijiuliza, chama kimeachieve nini katika maridhiano Yale, hakuna majibu ya Moja Kwa moja zaidi ya lawama,hivyo kupunguza maswali haya, Leteni ingizo jipya ambalo ni Dr Slaa turudi katika siasa za kiuanaharakati.
2. MIKAKATI THABITI KUELEKEA UCHAGUZI.
Najua mnapanga kushiriki uchaguzi, Dr Slaa Bado ni chaguo zuri. Ubora wake katika mipango thabiti unajulikana.
3. KULETA HAMASA KWA WANANCHI WASIOPENDA UFISADI NA RUSHWA.
Dr Slaa aliondoka akipishana na Lowwassa, na imethibitika kuwa Lowwassa ni Liability Kwa chama, maana amerudia nyumbani kwao, hivyo Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka. majuzi KM ndugu Mnyika amenukuliwa akisema kuwa, pia hakufurahia ujio wa Lowassa chamani, na ndio chanzo Cha ukimya wake wakati Ule, hivyo kurejea kwake Dr Slaa, kutaamsha tumaini jipya.
4. ANAAMINIKA KWA MAKUNDI YOTE.
Dr Slaa ni mtu mwenye misimamo isoyumba, hivyo ujio wake utaleta taswira mpya kuelekea harakati za kupata Tume huru kabla ya Uchaguzi wowote. Vijana watajitokeza tena Kwa wingi mikutanoni sababu aliaminika sana enzi zake.
Kundi kubwa lililohama CHADEMA na lingine kususia siasa baada ya Lowassa mwenye kashfa za ufisadi alipopewa nafasi, litarejea na Dr Slaa ikiwa atarudishwa tena chamani Kwa nafasi ya Katibu MKUU.
5. UANDAAJI WA SERA ZA CHAMA NA ILANI YA UCHAGUZI KWA MIAKA MITANO IJAYO 2025-2030.
Mchango wa Dr Slaa, hata hauhitaji Utafiti, maana alisaidia sana CHADEMA kuwa chama chenye sera thabiti ambazo nyingi ziliibwa na kutumiwa na chama tawala wakati huo 2015.
ANGALIZO: Chama chakavu Hadi sasa hakina KM, So Ingizo la Dr Slaa Kwa wakati huu, lazima utaleta mtikisiko Kwa chama tawala.
Ni hayo Kwa sasa.
Karibuni. 🙏
Yaani Eti turudi Yale Yale ya 2020?Huyu Mama kalaghai ndio maana tunamshangaa mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi amejivua nguo Dunia nzima imemshangaa.
Who really cares, you?Magu mzalendo ndiye turufu ya wagombea katika ngazi zote uchaguzi ujao 2025.
Hivi kwanini hamfanyi Utafiti?
Huoni chama kimekaa njia panda?
We unaona kuzunguka kwenda marekani na ubelgiji kuisemea CCM Kwa wafadhili, kutasaidia tupate tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya Kwa hisani ya marekani?Who really cares, you?
Mkuu CHADEMA haitakaa imtambue Magufuli kama kiongozi wa maana. Kwao alikuwa jinamizi ibilisi mwenyewe. A real nightmare! The worst president that Tanzania ever had! Vaa viatu vyao upate picha.
Hivyo kapambanie legasi yake ndani ya CCM yake. Alitaka kulazimisha kurejesha mfumo wa chama kimoja Karma ikagoma. Akatangulia. Ukishindwa huko fufua Umoja party. Ukishindwa hiyo mhimize Dr muanzishe amsha amsha na maandamano yasiyo na kikomo - hadi kieleweke! Ukishindwa hapo kabembeleze uteuzi kwa Mh. SSH.
Kashindwa hata kuwaadhibu wale waliokuwa wakiitwa "wasiojulikana" na wengine kawarudishia vyeo.Yaani Eti turudi Yale Yale ya 2020?
Wataharibu Nchi yetu Kwa tamaa ya madaraka.
Na ameanza compaign mapema kabla ya muda.Kashindwa hata kuwaadhibu wale waliokuwa wakiitwa "wasiojulikana" na wengine kawarudishia vyeo.
Kashindwa hata kudhibiti rushwa kashindwa kurejesha fedha zilizofichwa kwenye akaunti huko CHINA.
COVID 19 watarudishwa CDM na kusamehewa,Ushauri mzuri lakini je anaaminika tena ??!
Ngoja tuone !
Ila ni kweli Slaa ana mvuto zaidi kwa wananchi !
Nimekusoma vizuri sana. Ndio maana nashangaa kwa nini unapoteza muda kuishauri CHADEMA? Una fungamano gani huko?We unaona kuzunguka kwenda marekani na ubelgiji kuisemea CCM Kwa wafadhili, kutasaidia tupate tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya Kwa hisani ya marekani?
Na ikitokea wametusaidia ,CDM imeshika Dola Kwa msaada wao, tutawalipa nini in return?
Kuna Cha Bure duniani huko?