Ushauri: CHADEMA msimkebehi Dkt. Slaa baada ya kurudi nchini, mfuateni na mumuombe arudi ili awanyanyue kisiasa tena

Nasikia amerudi kwenye nyumba aliojengewa na Chadema huko Mbweni,Ccm hawakumpa hata mafao.Mke aliyemrubuni wakimbilie Canada,aliporwa na mwwnaume mwingine.Malipo hapahapa.
Kuporwa mke ughaibuni, ni jambo la kawaiida sana. Tena anakupora Mtanzania mwenzako
 
Daaah sasa kwann akarudi nyumban? Mi nadhani kama ni mtu makini angeendelea kuisimamia misingi yake aliyokua anaipambania dhidi ya CCM kwa aidha kuanzisha chama chake ama kwenda upinzan.
Hana hela sasa ivi.. na umaarufu umepungua. Yote hayo yanaitaji $$$ ndefu sana
 
Mwambie samia amuite ikulu akasaidie KUWAFUNDA VIJANA.
 


CCM ndio inategemea wazee kwani kwenye uchaguzi ina backup ya vyombo vya dola, wazee wa aina ya kina Mkuchika, Lukuvi nk. CDM ni chama cha vijana, hayo mawazo ya wazee kwa sasa hayana nafasi kwani kwasasa CDM haipambani na CCM, bali vyombo vya dola maana CCM haipo.
 
Mzee njaa ilimfanya asaliti what he believes.
 
Point yako nini hasa?
 

Dr Slaa alibebwa na nyota ya chama Cha CHADEMA. Alivyotoka CHADEMA amekuwa mwanasiasa wa kawaida. Halafu kashazeeka ana miaka 80, Hana uwezo tena wa kuhimili Kash Kash za siasa.
 
Huu sio ulimwengu wa mazuzu. Huyo Slaa, hana jipya lolote
 
Wapi wamemkebehi? Ningependa kuona.
 
CCM msimkebehi Membe.nendeni muombe ushauri!!
 
Yule mzee ni mtu wa MUNGU na ni mkweli,hawezi kubali kuungana na wajinga tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…