Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo umpelekee ushauri sasa akanyanyiliweKuna ubaya?
Kuporwa mke ughaibuni, ni jambo la kawaiida sana. Tena anakupora Mtanzania mwenzakoNasikia amerudi kwenye nyumba aliojengewa na Chadema huko Mbweni,Ccm hawakumpa hata mafao.Mke aliyemrubuni wakimbilie Canada,aliporwa na mwwnaume mwingine.Malipo hapahapa.
Hana hela sasa ivi.. na umaarufu umepungua. Yote hayo yanaitaji $$$ ndefu sanaDaaah sasa kwann akarudi nyumban? Mi nadhani kama ni mtu makini angeendelea kuisimamia misingi yake aliyokua anaipambania dhidi ya CCM kwa aidha kuanzisha chama chake ama kwenda upinzan.
Mwambie samia amuite ikulu akasaidie KUWAFUNDA VIJANA.Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
Wewe bwana wewe. Ongeza sauti kidogoKuporwa mke ughaibuni, ni jambo la kawaiida sana. Tena anakupora Mtanzania mwenzako
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
Mzee njaa ilimfanya asaliti what he believes.Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
DahKijana acha ujinga
Point yako nini hasa?CCM ndio inategemea wazee kwani kwenye uchaguzi ina backup ya vyombo vya dola, wazee wa aina ya kina Mkuchika, Lukuvi nk. CDM ni chama cha vijana, hayo mawazo ya wazee kwa sasa hayana nafasi kwani kwasasa CDM haipambani na CCM, bali vyombo vya dola maana CCM haipo.
Point yako nini hasa?
Una uhakika? Mbona wazee kibao wapo jela.
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
Wapi wamemkebehi? Ningependa kuona.Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
CCM msimkebehi Membe.nendeni muombe ushauri!!Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.