Dr Slaa kwa sasa hawezi kujiunga tena na siasa za upinzani:Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.
Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
1. Kwanza upinzani wenyewe ni dhaifu sana, hauna umoja, hauko serious, na hauna mipango
2. Yeye mwenyewe yupo loyal kwa CCM kwani wamemuamini hadi kumpa ubalozi
3. Hakuna haja tena ya kumtumia kama pandikizi huko CDM kwani upinzani wenyewe siyo threat tena kwa rulling party
4. Umri wake umeenda na hawezi tena active politics